Mavi ya nani ya diamond au ya Zari...
Hhhhhaaaaaa wakati zari ndio alieanza kuzirusha hizo pichaa
Diamond hata kuzipost huko Insta hajazipost....
Yaan watu wakimuona dai hawapumuii pumzi inashuka aiseeee
Diamond hajapost hata picha moja kwa Zari ziko kama 6 walifika salama Zari akapost people dont spread false rumours kumbe rumours zishaspread siku nyingi
Chart ipo juuuu utakua na masikio na mabovuuu
chart ipo juu ukilinganisha kipindi yuko na wema au kipindi ambapo ni mseja? sijakuelewa mama nikupendaye
Nadhani c busara kukaripiana ni suala la kuchangia hoja kistaarabu hata kama kuna tofauti ya mitazamo, km vp pia pita kimya. Hata huyo Dai hastahili kukaripiwa coz hajawatuma mumjadili hapa though yy ni celebrity as maceleb to wako kibao.Ndo maana nilisema MTU asivuke mipaka na kuattack member ?. Why akukaripie? Si akamkaripie dai ambaye anajadiliwa hapa.
Nilidhani peke yangu nimeliona hili...yani ni kama anaongelea ndan ya pipa.Hii in my shoes mbona sauti mbaya hivi....masikio yanauma
Jaman in my shoes izo mic mbona hazinasi sauti ya Wema vizuri!nakerekwa....afu kidevu amelift mpaka akitanua mdomo kinaomba poo....
Nilidhani peke yangu nimeliona hili...yani ni kama anaongelea ndan ya pipa.
Najihami kama msami
Na jf sihami
Mbona waongea kama mami