Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Diamond hajapost hata picha moja kwa Zari ziko kama 6 walifika salama Zari akapost people dont spread false rumours kumbe rumours zishaspread siku nyingi

Hhhhhhaaaaaaa zishasambaaaa tayareee kia Dai anajipendekezaaaa oooooo mara oooh
Wana wivu haooo haoooo wana wivu haooooooooo
 
labda dunia ina mambo lakini bado siamini kama Zarinah na diamond wanaweza kuwa wapenz maana Zarinah level chafu sana
 
Heheeeee habari zaidiii piaaaa walivyokua ndani ya ndege mikumbato kwa sanaaaa
Daimond safi sanaaaaaaaaaaa mchizi wangu
 
Ndo maana nilisema MTU asivuke mipaka na kuattack member ?. Why akukaripie? Si akamkaripie dai ambaye anajadiliwa hapa.
Nadhani c busara kukaripiana ni suala la kuchangia hoja kistaarabu hata kama kuna tofauti ya mitazamo, km vp pia pita kimya. Hata huyo Dai hastahili kukaripiwa coz hajawatuma mumjadili hapa though yy ni celebrity as maceleb to wako kibao.
 
Jaman in my shoes izo mic mbona hazinasi sauti ya Wema vizuri!nakerekwa....afu kidevu amelift mpaka akitanua mdomo kinaomba poo....
 
Jaman in my shoes izo mic mbona hazinasi sauti ya Wema vizuri!nakerekwa....afu kidevu amelift mpaka akitanua mdomo kinaomba poo....

Wametengeneza sautii imekaa poaaaa naona anampa promo daimond ya kutoshaaaaa
 
Back
Top Bottom