Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Unatongoza kizamani!!! Huyo demu akitoka kaoge maji ya bahari pale Salander bridge.

By the way me nimekuta njiani maandishi, na huu muda na wikend hii.....mhhh
Acha majungu mtoto wa kiume... mtoto nifah ndo anazimika na hizo sounds... ngoja nikupe darsa; unapotaka totoz TBS kama nifah ni lazima kwanza ufanye research kuhusu yeye... nilipofanya ya kwangu nikagundua mtoto hajiwezi kwa Le Billionaire Le Mutuz... hapo nikajua mtoto Ifa anazimika na old school...kumbe ulitarajia nini zaidi ya mimi kudondoka ki-old school; na mtoto ndo huyo... si ajabu ananiota hivi sasa!
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh!!!Hivi haya maneno unayapataga wapi Nas???
Honestly nimebaki kinywa wazi sijayaamini macho yangu hiki ninachokisoma....anyawys...uko vizuri kiukweli hakuna mwanamke ambaye hatopenda kuyasikia maneno haya.....
Unatarajia yatoke wapi my princess? Na haya hayapo kwa ajili ya mwingine bali ni kwa ajili yako peke yako na yanatoka ndani kabisa ya moyo wangu kati kati ya kiini kinachotiririsha chem chem ya huba ambayo haijapata kunajisiwa hapo kabla... hiyo ni maalum kwako na kwako na peke yako... niite "mpenzi" basi!
 
Two hours, jumped from 700 to 850... 150 followers within two hours...
 
Wasalimie huko jukwaa la siasa, nimechukua likizo isiyo na malipo! Jukwaa gani hilo, jukwaa zima kuna totoz wawili tu; FaizaFoxy na Mamndenyi....

Hahahaaa hadi nimechekaaaa....kule zikienda totoz za ukweli wanazikimbiza na maneno ya shombo...kisa cha kufa mapema nini kwa mistress? Bora hao ulowataja wameyapitia mengi maneno matupu hayawashtui...
Halafu naona mutoto ya ukweli masai dada iko likiso....yule nae ndo anaweza sterss za kule.....
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo Diamond ndo kwa kujipima mbegu, walisema mbegu zako hazifunction waone aibu...

Tunakupa miezi mitatu tunataka kuona ntu anatema tema mate, na ana upload picha za maembe mabichi insta....sawwwwa? Eti Dinazarde unasemaje shost?
 
Last edited by a moderator:

Kule kunahitaji roho ngumu maana kule watu hawarembi.
 
Last edited by a moderator:
Kule kunahitaji roho ngumu maana kule watu hawarembi.

Hahahaa me naendaga kwa kuvizia...lile jukwaa kiboko...manake ukimtetea mtu unaweza kuambiwa ni hawara yako. Halafu ban zinagawiwa kama njugu...
 








Huku penny na madam wakipatana baada ya kujgundua wote ni wajinga kwa kukosana kisa diamond,yeye diamond ameendlea kuudhihirisha u-filauni wake kwa wanawake kwa kutoa picha zinazothbtisha uhusiano wake na boss lady asiye na akili "zari"..
 
Hahahaa me naendaga kwa kuvizia...lile jukwaa kiboko...manake ukimtetea mtu unaweza kuambiwa ni hawara yako. Halafu ban zinagawiwa kama njugu...
Sie wengine tushazoea ndo maana tunaamua kuwatisha kwa hayo ma-signature kwamba ukinizingua, nakuzingua!!! Sema nikiwaga busy lile jukwa silitaki coz' ukichokoza moto jiandae kujibu posts siku mzima na zaidi...utamu zaidi watu wanataka majibu yenye evidence au hoja ya nguvu!!!
 
this is only best platform for her kuonesha yeye ni mahiri wa kubinuwa mdomo lakini ukikutana live na watu wa hivi utachoka na utashangaa sana.

Umemficha wapi lara1 siku hizi?
 
Last edited by a moderator:
NasDaz hivi ulisema mond na zari ni kama mbingu na ardhi, ulitumia kigezo kipi eti???
 
Last edited by a moderator:
Two hours, jumped from 700 to 850... 150 followers within two hours...
The number jumped from 850 to 1474 ikiwa ni ongezeko la Followers 624 within the past two hours... hili ni mara nne ya ongezeko la Followers 150 ambao walim-follow Zari the preceding two hours.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…