Acha majungu mtoto wa kiume... mtoto nifah ndo anazimika na hizo sounds... ngoja nikupe darsa; unapotaka totoz TBS kama nifah ni lazima kwanza ufanye research kuhusu yeye... nilipofanya ya kwangu nikagundua mtoto hajiwezi kwa Le Billionaire Le Mutuz... hapo nikajua mtoto Ifa anazimika na old school...kumbe ulitarajia nini zaidi ya mimi kudondoka ki-old school; na mtoto ndo huyo... si ajabu ananiota hivi sasa!Unatongoza kizamani!!! Huyo demu akitoka kaoge maji ya bahari pale Salander bridge.
By the way me nimekuta njiani maandishi, na huu muda na wikend hii.....mhhh
Last edited by a moderator:


