Chacha Willy
Senior Member
- Mar 30, 2014
- 103
- 36
Kwa kigezo cha mkwanja Chibu na Zari ni kama mbingu na ardhi lakini nilishasema katika mapenzi hakuna kinachoshindikana coz' no fixed terms, vigezo na masharti hubadilika mara zote kulingana na wakati na hapo ndipo unakuta mkata majani ya ng'ombe anamega mzigo wa bosi!!NasDaz hivi ulisema mond na zari ni kama mbingu na ardhi, ulitumia kigezo kipi eti???
Mwanaizaya anafaidi huyu...,
kashaliwa huyo.
Kwa kigezo cha mkwanja Chibu na Zari ni kama mbingu na ardhi lakini nilishasema katika mapenzi hakuna kinachoshindikana coz' no fixed terms, vigezo na masharti hubadilika mara zote kulingana na wakati na hapo ndipo unakuta mkata majani ya ng'ombe anamega mzigo wa bosi!!
The number jumped from 850 to 1474 ikiwa ni ongezeko la Followers 624 within the past two hours... hili ni mara nne ya ongezeko la Followers 150 ambao walim-follow Zari the preceding two hours.
huyo dada hana njaa ya vixen ana uwezo wa kuwalisha domo na wema na koo zao hadi uchaguzi wa 2020 hapo bosslady kanasa ulimboni