Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Hata suku 1 diamond hawezi mpiga huyu demu. Huyu demu ana hela chafu ata diamond hafikii hapo, ana ma boutique south africa huko ni balaa na maduka ya cosmetics dinga ndio usi seme we una dhani ana chapika kirahisi huyu. Zaidi labda aliona diamond ni msanii na ni maarufu na wote wako ndege moja sio mbaya waki piga selfies. Basi ndio mchezo ukaishia hapo... Afu kitu kingine, msije mka jidanganya eti diamond ata kuja kumuoa wema hio haipo, pale ana piga tu basi na yule demu ana jua hamna ndoa hapa ni funyox tu.

Toka daimond Alivojipumzisha kwa Kidoti kuaanzia hapo nikasema kumbe wanawake wote ni grade moja tuu so hakuna kinachoshindikana mkuu
 
Sawa chibu,ila sasa,hawa wapambe wako wanakuharibia huku maana unaonekana umejinadi kisa umepiga picha na demu mwenye pesa east africa nzima na kupanda nae ndege then sjui nini cha ajabu,kwani ndo vipi yaan?tumejua sasa kuwa we umepiga selfie na demu mwenye pesa tukusaidie nini sasa??????au tufanyaje???? Kwani si ishu ya kawaida hii!!!!! Acha ujinga aiseee.

Sent from my radio

Zari mwenyewe ndo aliposti kwanza
 
Hata suku 1 diamond hawezi mpiga huyu demu. Huyu demu ana hela chafu ata diamond hafikii hapo, ana ma boutique south africa huko ni balaa na maduka ya cosmetics dinga ndio usi seme we una dhani ana chapika kirahisi huyu. Zaidi labda aliona diamond ni msanii na ni maarufu na wote wako ndege moja sio mbaya waki piga selfies. Basi ndio mchezo ukaishia hapo... Afu kitu kingine, msije mka jidanganya eti diamond ata kuja kumuoa wema hio haipo, pale ana piga tu basi na yule demu ana jua hamna ndoa hapa ni funyox tu.

wanachapika tu we ndo huwez jua kucheza na maneno
 
ImageUploadedByJamiiForums1415307370.454979.jpg
Ha ha ha ha nimechekaje
 
Ampate wapi, hashuo tuu, mbona amekaa Kama passenger mwenzie tuu wame Piga picha sioni cha ajabu mie hapo...
 
Huu uandishi huu? hivi mleta mada anajua nini maana ya kutanua?
 
Back
Top Bottom