Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Jamaniii eeeeeeeeee mi nilisema mkanibishia, Wanaume wengi wanamtoleaga macho zari na hana habari nao, ,,,tende imeanguka jangwaniii
Yaan Dai kama unanisikiaaa oa huyo zarii mitwangio inatofautiana bana wako unaweza mdatishaaa herooooo heroooooo uwiiiiiiiiiiiii
Iwe video isiwee,mlisema zari kaja kumuona Sinta kumbe pia alikua amekuja na kwa Dai pia
Ina maana Dai alikosa wa kushoot nae mpaka zari hapo ndo mjue kuna chi chiiiiiii chiiiiiuii
 
Diamond, mam ako unachezea akili za wenzio kama mtoto na toy, haya leta io ngoma mpya sasa!
 
hahaaa haa haaaa kiongozi umenichekesha sana tu.
attachment.php

Kwani
Huyo Mwanamke ana nini kinachomfanya wafikirie domoondi hawezi mchapa
nao? Amegongewa ngozi zuma na mlinzi ndio itakuja kuwa zari?
 
Jamaniii eeeeeeeeee mi nilisema mkanibishia, Wanaume wengi wanamtoleaga macho zari na hana habari nao, ,,,tende imeanguka jangwaniii
Yaan Dai kama unanisikiaaa oa huyo zarii mitwangio inatofautiana bana wako unaweza mdatishaaa herooooo heroooooo uwiiiiiiiiiiiii
Iwe video isiwee,mlisema zari kaja kumuona Sinta kumbe pia alikua amekuja na kwa Dai pia
Ina maana Dai alikosa wa kushoot nae mpaka zari hapo ndo mjue kuna chi chiiiiiii chiiiiiuii

Yesss i said Kumuona sintah ni mojawapo ya yaliyomleta.
 
Kuna new video kutoka kwa diamond platnumz anakaribia kuitoa ameshoot kama ckosei SA yuko na wazungu wanacheza pia yuko na gari moja matata old skul kama ya malkia wa zamani. Kijana anajua marketing ya kaz zake.
Big up to him success will never stop to follow him

Ile sio ya diamond,ni ya yemi alade,ndoma kashrkshwa tu
 
Hata kwa wema alikuta makombo na bado anayala makombo,zari bado sio bibi kabisaa ukimpanga na Wema, zari mzuri na bomba ile mbaya na hapo ana watoto kama hana vileee
Na zari hazidi miaka 35 upooo acha Dai nae aonje tu kuna watu walibishi aibu yaoo habari ndio hiyoo hata wema alipokua na dai china walisema wanatoa movie iko wapi mpaka leo, hata hiyo video watoe lakini ukweli ni kua zari kaliwaaaaaa

Weee ni over 35 kama si 40. Kwa kuwa tu humpendi Wema usihalalishe hata pale diamond anapobug. Mbona mimi wema akikosea ninasema?? Wanawake kibao mjini wenye hela zao na wanaonekana vijana kwa kujitunza. So with money kila kitu sawa.
 
Domo akimwacha hii pisi bila kuila ntamwona ---- sana
 
Back
Top Bottom