Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Jamaniii eeeeeeeeee mi nilisema mkanibishia, Wanaume wengi wanamtoleaga macho zari na hana habari nao, ,,,tende imeanguka jangwaniii
Yaan Dai kama unanisikiaaa oa huyo zarii mitwangio inatofautiana bana wako unaweza mdatishaaa herooooo heroooooo uwiiiiiiiiiiiii
Iwe video isiwee,mlisema zari kaja kumuona Sinta kumbe pia alikua amekuja na kwa Dai pia
Ina maana Dai alikosa wa kushoot nae mpaka zari hapo ndo mjue kuna chi chiiiiiii chiiiiiuii
 
Diamond, mam ako unachezea akili za wenzio kama mtoto na toy, haya leta io ngoma mpya sasa!
 

Yesss i said Kumuona sintah ni mojawapo ya yaliyomleta.
 

Ile sio ya diamond,ni ya yemi alade,ndoma kashrkshwa tu
 

Weee ni over 35 kama si 40. Kwa kuwa tu humpendi Wema usihalalishe hata pale diamond anapobug. Mbona mimi wema akikosea ninasema?? Wanawake kibao mjini wenye hela zao na wanaonekana vijana kwa kujitunza. So with money kila kitu sawa.
 
Domo akimwacha hii pisi bila kuila ntamwona ---- sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…