Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
hahaaaa kama umeyapenda niambiage nikufundisheeee
hamna shidaaa awe tu wifi hata income ya taifa ataongezea
eeeh ni bora mara mia kuliko wakesha vigodoroni
akuuuuuuu staki unifundishe pozi za hivyo mwanawane ili?
hahaha vigodoro havina faida u know wakiwa kustuka kumekucha
Hata suku 1 diamond hawezi mpiga huyu demu. Huyu demu ana hela chafu ata diamond hafikii hapo, ana ma boutique south africa huko ni balaa na maduka ya cosmetics dinga ndio usi seme we una dhani ana chapika kirahisi huyu. Zaidi labda aliona diamond ni msanii na ni maarufu na wote wako ndege moja sio mbaya waki piga selfies. Basi ndio mchezo ukaishia hapo... Afu kitu kingine, msije mka jidanganya eti diamond ata kuja kumuoa wema hio haipo, pale ana piga tu basi na yule demu ana jua hamna ndoa hapa ni funyox tu.
Sawa chibu,ila sasa,hawa wapambe wako wanakuharibia huku maana unaonekana umejinadi kisa umepiga picha na demu mwenye pesa east africa nzima na kupanda nae ndege then sjui nini cha ajabu,kwani ndo vipi yaan?tumejua sasa kuwa we umepiga selfie na demu mwenye pesa tukusaidie nini sasa??????au tufanyaje???? Kwani si ishu ya kawaida hii!!!!! Acha ujinga aiseee.
Sent from my radio
Hata suku 1 diamond hawezi mpiga huyu demu. Huyu demu ana hela chafu ata diamond hafikii hapo, ana ma boutique south africa huko ni balaa na maduka ya cosmetics dinga ndio usi seme we una dhani ana chapika kirahisi huyu. Zaidi labda aliona diamond ni msanii na ni maarufu na wote wako ndege moja sio mbaya waki piga selfies. Basi ndio mchezo ukaishia hapo... Afu kitu kingine, msije mka jidanganya eti diamond ata kuja kumuoa wema hio haipo, pale ana piga tu basi na yule demu ana jua hamna ndoa hapa ni funyox tu.
View attachment 199751
Ha ha ha ha nimechekaje
Zari mwenyewe ndo aliposti kwanza
dah mkuu umejionea plate no. zake kila gari zina gna lake hana njaa ya pesa huyu diva hata we anakuonga
Dah huyu Bosslady hayo magari yote ni yake? Mweeeh
Dah huyu Bosslady hayo magari yote ni yake? Mweeeh
havina faida aisee vinatupotezea tu usingizi sie
Hahahahaaaa uwiiiiiiii. Jamani huyu lemutuz khaaa!!