Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Jamaniiiiii....Mimi tokea nimeingia JF nimewahi kukasirika siku 1 tuu na nilishasema sina time tena....wewe umewahi kuwa na ligi ngapi?
Tuyaache hata hivyo....nimecheka tu ulivyomwagika...

Hhhhhaa ndio hivyooo puvu lishamwagikaaa waaaaaaaaaaaaaaaa zoweni mfulieee
 
Basiii yaishe tupige domoo hapa baraza la raha,huyo Diamond hata hatufahamiani naye,vikombe pia hugongana(sio ushauri usije ukanimeza bure)

Yashaisha mie zamaniii,ila sipendi kukotiwa na kuambiwa kisengee ni bora unipiteee maana hupungukiwi kituu
 
Attachments

  • 1415354059163.jpg
    1415354059163.jpg
    14.2 KB · Views: 435
Dangote piga huyooo akugandeeer lazima adate na kirungu chezeaaaaaaaaa,pesa ni zake k ni mali ya jamii

wewe dada haya maneno unatoaga wapi? wewe hivi shemeji huwa unakuweza kweli?da najaribu kupitia comments humo naishia kucheka sana .....wewe kila swali lina jibu ....but am happy with since u make me happy.....
 
Dangote piga huyooo akugandeeer lazima adate na kirungu chezeaaaaaaaaa,pesa ni zake k ni mali ya jamii

wewe dada haya maneno unatoaga wapi? wewe hivi shemeji huwa unakuweza kweli?da najaribu kupitia comments humo naishia kucheka sana .....wewe kila swali lina jibu ....but am happy with since u make me happy.....Tafadhali usinipige rungu sikuwezi.
 
wewe dada haya maneno unatoaga wapi? wewe hivi shemeji huwa unakuweza kweli?da najaribu kupitia comments humo naishia kucheka sana .....wewe kila swali lina jibu ....but am happy with since u make me happy.....

Kwa shemeji yako hata shiii sisemi hata nichukieje namheshimu na kumnyali ile mbayaa ni humu tu,kwanza leo akipita hapa akiyaona ninalo nitajibebaa niandae tu mizigo twangu mapema nihepe kabla ya :banghead::banghead:
 
Hahahahahahahah haya bhanaaa
 
Back
Top Bottom