Awesome!
Jamaniiiiii....Mimi tokea nimeingia JF nimewahi kukasirika siku 1 tuu na nilishasema sina time tena....wewe umewahi kuwa na ligi ngapi?
Tuyaache hata hivyo....nimecheka tu ulivyomwagika...
Basiii yaishe tupige domoo hapa baraza la raha,huyo Diamond hata hatufahamiani naye,vikombe pia hugongana(sio ushauri usije ukanimeza bure)
Afadhali mie we kibokooo,leo nimemeza omo,,,,
Naona aibu mie!
Hayaaaa...!Yashaisha mie zamaniii,ila sipendi kukotiwa na kuambiwa kisengee ni bora unipiteee maana hupungukiwi kituu
Awesome!
Unavyomparangania inaonyesha una mahaba ya dhati kabisa na Diamond ni zaidi ya shabiki..
How about this one....
Hii kabati ni ya mninga au mpingo??
Awesome!
Haha hahahaaaah si unasemaga hutokwi povu wewe?leo imekuwaje?
Yashaisha mie zamaniii,ila sipendi kukotiwa na kuambiwa kisengee ni bora unipiteee maana hupungukiwi kituu
How about this one....
nimescreenshot ujumbe wako
Dangote piga huyooo akugandeeer lazima adate na kirungu chezeaaaaaaaaa,pesa ni zake k ni mali ya jamii
Dangote piga huyooo akugandeeer lazima adate na kirungu chezeaaaaaaaaa,pesa ni zake k ni mali ya jamii
wewe dada haya maneno unatoaga wapi? wewe hivi shemeji huwa unakuweza kweli?da najaribu kupitia comments humo naishia kucheka sana .....wewe kila swali lina jibu ....but am happy with since u make me happy.....
Ana magari mengi tena ya maana. Nyumba yake ni km 8 star hotel. Ana hela chafu ila ndo hajiskii yuko down to earth.
Aiseeee mmenifanya nitetemeke!! Mi mwanzoni nilijuaga ni kama kina Huddah...ila duh....salute!ana hadi Lamborghini.Hakuna Diva yeyote East Africa anayemfikia
Kwa shemeji yako hata shiii sisemi hata nichukieje namheshimu na kumnyali ile mbayaa ni humu tu,kwanza leo akipita hapa akiyaona ninalo nitajibebaa niandae tu mizigo twangu mapema nihepe kabla ya :banghead::banghead: