Diamond atawamaliza mastaa

Diamond atawamaliza mastaa

Simba Mkali

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
620
Reaction score
239
DIAMOND.jpg hii picha alipiga morogoro na mastaa wa kike
 
Kuna baadhi ya sehemu za mwili wa binadamu ukiziona ndipo unajua rangi halisi ya mhusika!. Mimi nilidhani mambo ya Calorlight (Karolaiti) na mikorogo ni kwa dada zetu tuu!. Na kwa wanaume ni wanamuziki wa Wakongomani tuu?!. Kumbe hata hawa wenzetu!. Angalia rangu ya mguu na uso!.
 
Haaaaaaaaaaaaa itakua photoshop hyo maana navyojua mimi kwa rangi hyo ya juu ya diamond basi miguu ingekuwa meupe kuliko hapo coz mda mwingi inafunikwa.
 
Hakuna photoshop hapo ni picha ya kweli, naomba radhi picha hiyo imepigwa Mbeya ndani ya hoteli ya Peace of Mind muda mchache baada ya wasanii hao kutoka kuogelea, mambo ya Fiesta hayo.
 
Kama ni pic ya kweli basi diamond anaendekeza ngono sanaaa,ukitaka kujua mtu anaendekeza mechi angalia miguu ya diamond kwenye joint magoti yani imekwisha(membamba sana) yani supu yote imekwisha,apunguze kusimamia kucha.
 
Hawa nao wana jipeleka wenyewe tu hawana lolote!
 
Kuna baadhi ya sehemu za mwili wa binadamu ukiziona ndipo unajua rangi halisi ya mhusika!. Mimi nilidhani mambo ya Calorlight (Karolaiti) na mikorogo ni kwa dada zetu tuu!. Na kwa wanaume ni wanamuziki wa Wakongomani tuu?!. Kumbe hata hawa wenzetu!. Angalia rangu ya mguu na uso!.

Ila kweli tumagoti ni tweusi saaana
 
Kuna baadhi ya sehemu za mwili wa binadamu ukiziona ndipo unajua rangi halisi ya mhusika!. Mimi nilidhani mambo ya Calorlight (Karolaiti) na mikorogo ni kwa dada zetu tuu!. Na kwa wanaume ni wanamuziki wa Wakongomani tuu?!. Kumbe hata hawa wenzetu!. Angalia rangu ya mguu na uso!.

Mimi nilijua, utakumbushia jinsi gani JF itafungwa kwa kuingilia privacy ya watu. Kumbe ya Peter na Sam tu!
 
tujuzane hawa ni akina nani? huyo mwanaume ni nani? mbona yuko kama mcheza shoo wa KOFI OLOMIDE?
 
Aisee Jamaa Ngoko zake zimekomaa kweli... Duh!!
 
Mkono wa kushoto wa Diamond umebonyeza sawasawa chakula cha mtoto!!!
 
Back
Top Bottom