Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Anataka kuwaharibia watoto wa watu maisha...
Ingawa na mzazI aliyekubali naw kichwa chake sio kizima....
Sijui wakiona kiki ushuzi za hawa watu maarufu wa bongo wanachanganyikiwaga
Ujue kwa hali ya kawaida ya maisha yetu watanzania tulio wengi tunaijua, sasa mzazi yeyote wa hali ya chini akisikia BILLIONAIRE chibu anataka kumsomesha mwanae tena shule ya gharama hawezi kukataa.
Ni umasikini tu ndio unaosababisha yote haya, tatizo linakuja pale billionaire anaposhindwa kutimiza ahadi yake.