Anataka kuwaharibia watoto wa watu maisha...
Ingawa na mzazI aliyekubali naw kichwa chake sio kizima....
Sijui wakiona kiki ushuzi za hawa watu maarufu wa bongo wanachanganyikiwaga
Binamu katika ubora wako.
Domo anapenda sifa sana hadi katika vitu visivyotaka masihara kama elimu.
Kilichomfanya bilionea atoe ahadi ni njni?
Ahadi ni deni.....
Juzi si katoka kufanya shopping ya million 50 sijui ya mtoto wa katunzi? Yani anahangaika na watoto ambao wana baba zao tena wana uwezo anawaacha wale aliowasomesha shule nzuri? Aendelee kuwasomesha hawezi jua watamsaidiaje baadae na ivi hazai hawasomeshe tu, sio lazima na yeye azae kama king kiba, kama kizazi hana awe mpole yote maisha
Mpuuzi kweli sasa aliwaahidi na kuwatoa shule kwann? Yaani shida yake ilikua tu auze story kuwa anasomesha watoto baas!!!
Binamu bora uzaliwe na ufe maskini ukiwa na adabu zako kuliko uzaliwe kwenye dimbwi la ushenzi na ufe na ushenzi Kama hao vipapa!!
Hahahahahaa warumi ukiamua kunifurahisha basi nitacheka hatariii.
Mwenzetu labda ana kipaji cha u step dady.
Namngoja kwa hamu huyo mtoto asipokua na domo kubwa tu kwisha kazi.
Mtoto kama wa Chris Brown wala huulizi.
Kuna mengi labda kunawanaopewa pesa kufatilia maendeleo na wamezila hapo utamlaumu D?
Juzi kaenda Tandale kasaidia wapate bima watu 200 kweli mtu aliyepitia maisha duni ndio atelekeze wakati anajua maisha hayo yakoje?
Kwani umeambiwa billionea haishiwi sukari na chumvi ndani kwake kwa kusahau? Pia kunbuka waweza kuwa billionea huku umewekeza na pesa inaongezeka bali haipo ki cash mkononi wengi wana hayo na wengi duniani
Ujue kwa hali ya kawaida ya maisha yetu watanzania tulio wengi tunaijua, sasa mzazi yeyote wa hali ya chini akisikia BILLIONAIRE chibu anataka kumsomesha mwanae tena shule ya gharama hawezi kukataa.
Ni umasikini tu ndio unaosababisha yote haya, tatizo linakuja pale billionaire anaposhindwa kutimiza ahadi yake.
Wale watoto walikuwa wanasoma kayumba akawaamisha shule akawapeleka kule mikochen international school karibia na clouds, alisema atawasomesha mpaka chuo, sijui imekuwaje tena
Halafu unakuta mzazi anachekelea!!!
Mpaka chuo? Kwa sustainability gani?
We tuliaaa mamaa!!watakuja kukanusha hapa haohao gpl tukiwa hapahapa!chezea shigongo wewe!!halafu kijipesa chenyewe kinachekesha!!
SI anajiita billionare
Billionaire angezalilisha utu wake kwa ajili ya Land cruiser V8 za kina chief?
AAah aaah umenikumbusha mbali sana dah, huyu billionaire kiboko
Yaani tena na Diamond huwa hafanyi vitu kizembe.
hiyo shule naamini labda pia ilimfuata iwatangazie kwa kuwaletea watoto wawili, sasa wanaona anazidi pata pesa wanahamu wasingejiingiza kwenye hayo wanasema ----- baada ya kuwashinda, kuna kitu/mtu/watu.eti watoto wasome bura tangu Jan 2014 bila ada waongee leo
mmmmh kweli wenye chuki nae wako kazini kila kona wanajaribu
kuna watu Wanataka Kalinganisha hii na Ile ya NAOMBA UNISAIDIE ya jana
Billionaire angezalilisha utu wake kwa ajili ya Land cruiser V8 za kina chief?