Diamond atelekeza watoto wa shule

Sasa si global hawakumpata 😱 kwa simu ilikuwa bize muda wote, na meseji ametumiwa si ndio hakujibu na sasa hata kwa zile social media kweli walishindwa kusema kasoma ujumbe au hajausoma maana kukamatia mtu siku hizi ni kule kujua zaidi

Nyie wote mnaomtafuta amewawekea namba yake, e-mail address, na ametumia hiyo ambayo pia anatumia kikazi, kalambeni ndimu juu ya mwimbo mpya BET(hata huko siingiii ni furaha😄😄&#128516😉

Ka caption kasemaje??????😊

Mdau mie nasema mkamwandikie na muwaambie hao wenye shule kuwa wameshindwa kumpata tangu Jan 2014 hadi April 2015 watoto waliposoma bure bila ada wamwandikie pia.

(Anaandika yake hayo nanyi muandike)

Picha ameirusha kwenye instagram page yake iliyo public kila mtu aone aliyotaka muone 😉

 
Haya nyie mnaoshupalia janga hili na mengine hadi kuja kutukana maana imewauma sana tena sana watoto kutekelezwa mkashindwa hata changishana na mnachohesabu kila senti kununua mkate wakaendelea kusoma si msaada au?

Eti nyie mliokulia sijui ushuani sijui mkoje tena mnapesa mnamdharau mtoto Tandale halafu munamdai atoe msaada mnalilia, kwanini hamjarukia nyie waushuani, wenye pesa mkawakomboa? Si mnawaonea huruma na mnazo nyingi hadi tabia nzuri ndio maana mnatukana na kuandika ----- usio na kichwa wala miguu na mnapongezana kila sekunde kumbe mnapaishana kiupupu.

Haya mtafuteni oo watoto wa ushuani mnamlilia fees mtoto aliekulia Tandale. Ooo nyie ndio hamvunji hamri za Mungu oooh wasafi sana

Mtafuteni wenyewe basi mumudai contacts hizo juu
 

Ahahahaaa wenyewe wana kamsemo kao ka kujiliwaza wanasema"Waswahili sana"wakati wenyewe dhoofulhali tu kama kina sie,Wanaigiza wana maisha safiiii kumbe wanaishi kwenye nyumba za kupanga tena chumba kimoja tu,sebule hiyohiyo,jiko hapohapo,dinning hapo hapo,store hiyohiyo,ahahaaaaa!choo cha public kila siku UTI haikauki!

Wakifika humu ndani kutwa kujifanya wasomi wenye nazo kumbe uharo tupu!endeleeni kujiliwaza lakini maana inawezekana inawasaidia kupunguza stress.

Sisi watoto wa kiswazi bado tunapambana na uswahili wetu!na dalili za kutoboa zinaonekana!!kutoka tandale mpaka london masikhara sasa!.go go goo CHIBU.
 

Yaani umenena mie nadansi

go go goo Chibu

Anatuma form ya kideo wanabadili maneno eti anaomba kuingizwa kwenye awards za mwaka huu.... Mbavu zangu mie

Wameenda shule hao, hadi PHD za kuhesabia majani wakikaa chini ya miti wanazo.
 
Hawa watoto wa matajiri waliosomea ughaibuni huwa wananifurahisha ile mbaya!!! Kila wakati hawana jipya... mara oh, uswahili... mara oh, watoto wa Tandale lakini cha ajabu wakiona threads za watoto wa uswahilini wasiosoma unakuta wao ndo wanaongoza kukimbilia kuja kuchangia!! Sasa mtoto wa kishua unashinda kutwa kwenye thread za watoto maskini wa uswahilini sasa sijui tofauti yao na sisi tunaoishi Tandika sijui ni ipi!!! FaizaFoxy ana msemo wake "hivi huko shule mlienda kusomea ujinga!"
 

London? Sasa kutembea tu ndo unajiona umeenda paradiso, na waliojenga uko wasemeje sasa? Nyie mnaenda uko kucheza vigodor wenzenu wanaenda kupumzika kwenye mahekalu yao uko london, unaongea nini wewe?
 
Yaani umenena mie nadansi

go go goo Chibu

Anatuma form ya kideo wanabadili maneno eti anaomba kuingizwa kwenye awards za mwaka huu.... Mbavu zangu mie

Wameenda shule hao, hadi PHD za kuhesabia majani wakikaa chini ya miti wanazo.

Ahahahaaa!!nakwambia nimewadharau haooo!!kutwa kujifanya wao smart kichwani na mifukoni ndani humu na kuwaita wenzao waswahili utadhani wao wazungu!maisha yamewapiga tu kama mimi hapa!!tena unaweza ukakuta hata sisi tunanafuu shosti!broken english inawafanya waonekane vituko!

Ahahahaaa ngoja nivizie dagaa nje hapa wasije watu wangu wakakosa kula mchana bure!!
 
Hahaaaa magezeti zaidi ya desertations hafu pumba tu with nothing new zaidi ya vimesemo vya kiswahili Swahili.

Shule muhimu binamu, leo hii nyumba ya vyumba vinne inaitwa hekalu, sasa lile ghorofa la mtoto wa wazir kule mikochen tunaliitaj labda? Nyie watu wanajua kuchekesha, ila anawapata mamburula wenzie form four failures
 
Sijawahi kusoma primary wal secondary in Tz, you can imagine shule nilizosomea, sijawah kuvaa jezi zenu za mtomba nyoko primary school zile surual za blue na mashat meupe kama sanda za maiti, huyo boss wako hanipat kiekimu wala kimaisha

Hahahahaha, binamu yangu warumi katika ubora wako.Naona watu wanakuchukulia poa sana kisa umbea....uko vizuri.
 
Last edited by a moderator:
London? Sasa kutembea tu ndo unajiona umeenda paradiso, na waliojenga uko wasemeje sasa? Nyie mnaenda uko kucheza vigodor wenzenu wanaenda kupumzika kwenye mahekalu yao uko london, unaongea nini wewe?

Hahahahahahaaa uwiiiiiiii! Ningekua natumia website ningekupa Repp. Power kwa hii comment binamu.Nimecheka hadi machozi!
 
Hahahahaha, binamu yangu warumi katika ubora wako.Naona watu wanakuchukulia poa sana kisa umbea....uko vizuri.

Watu wana ulimbukeni na maisha, sijui ushamba au nini, lady jaydee anakaa masaki, ana push range Rover, ana kibanda mbezi, ana biashara zake, ila ata siku moja huwezi kumkuta jide akijigamba kwa watu eti yeye ni tajir au anaishi vzur, tabia alizonazo diamond alipaswa kuwa nazo jide mwanamke, ivi haoni aibu anashindwa akili na mwanamke? Ye akinunua kijiko mji mzima atataka wajue utadhan ye ndio wa kwanza kuwa navyo, bora uwe mchawi kuliko kuwa mswahili
 
Last edited by a moderator:
London? Sasa kutembea tu ndo unajiona umeenda paradiso, na waliojenga uko wasemeje sasa? Nyie mnaenda uko kucheza vigodor wenzenu wanaenda kupumzika kwenye mahekalu yao uko london, unaongea nini wewe?
Ahahaha binamu mi kila siku naongea kiswahili!!tena cha kiswazi hasaaaaaa!!hatuwezi kufanana nao ndio maana tunatafuta usiku na mchana!kinachonikera ni watu kuigiza wanazo wakati tia mchuzi pangu pangavu
 
Ahahaha binamu mi kila siku naongea kiswahili!!tena cha kiswazi hasaaaaaa!!hatuwezi kufanana nao ndio maana tunatafuta usiku na mchana!kinachonikera ni watu kuigiza wanazo wakati tia mchuzi pangu pangavu
Na wewe nenda English Kozi bhana manake hicho Kiswahili unachaondika hadi mpwa wangu warumi anashindwa kukuelewa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…