Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hahaaaaa uwiiii jamani leo mkorogo ni mbaya sana aisee mikononi kwenye magoti na kwenye kota huwa unagoma mana ngozi ngumu. Hafu unatakiwa ukiutumia usiwe una kaa juani ndo utapauka Mpaka ushangae.
Hahahahahaa Diva jamani leo nina raha haifai kusema...yaani basi tu.
Mkorogo wanapaka akina Vera Sidika bwana sio hawa kaukau wanaokaushwa na jua la bongo hii.
Last edited by a moderator: