Diamond atelekeza watoto wa shule

Hahaaaaa uwiiii jamani leo mkorogo ni mbaya sana aisee mikononi kwenye magoti na kwenye kota huwa unagoma mana ngozi ngumu. Hafu unatakiwa ukiutumia usiwe una kaa juani ndo utapauka Mpaka ushangae.

Hahahahahaa Diva jamani leo nina raha haifai kusema...yaani basi tu.
Mkorogo wanapaka akina Vera Sidika bwana sio hawa kaukau wanaokaushwa na jua la bongo hii.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaa Diva jamani leo nina raha haifai kusema...yaani basi tu.
Mkorogo wanapaka akina Vera Sidika bwana sio hawa kaukau wanaokaushwa na jua la bongo hii.

Hahaaaa kina vera mkorogo wao first classy sio huku wa kuchaganya ma clogate sijui vi nini? Mwishowe wana babuka na kuharibu ngozi.
 
Last edited by a moderator:
Aahahahh, mimi sipo kama wengi wanavyonifikiria, wachache tu ndo wananijua vzur mimi ni nani, nipo nchi gan, nafanya nn, Mtanzania au, ipo siku mtajua, mtashangaa sana yani

Hongera binamu kwa kitoboa!nisaidie mimi na Chige tutoboe basi
 
Yaani umenena mie nadansi

go go goo Chibu

Anatuma form ya kideo wanabadili maneno eti anaomba kuingizwa kwenye awards za mwaka huu.... Mbavu zangu mie

Wameenda shule hao, hadi PHD za kuhesabia majani wakikaa chini ya miti wanazo.

Breaking news hii hapa!
 
Hahaaa huyu le bilionare kiboko aisee aombe Mungu mvua isinyeshe mfululizo maana ni shiider.

Mambi shost. Hiv mbona cku hizi ngololo cmuon na mama ake ka zamani, kipindi kile yuko na In my shuziii kila kona na mama ake mara happy deadday mara sjui zawadi ya mkoko! Lkn toka yuko na huyo international nguruba mama cjui kamdampo wapi@Diva beyonce
 

Mwenyewe sijamuona mda ila kuna kipindi mamake alikua anaumwa. Na huyu zari labda anakaba hadi penalti.
 

Chezeiya limbwata la kiganda wewe!
 

Hili nalo neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…