Diamond Atetea Ngozi Mpya Ya Wema Sepetu: Imekuwa Nzuri Yenye Afya

Diamond Atetea Ngozi Mpya Ya Wema Sepetu: Imekuwa Nzuri Yenye Afya

Diamond anapenda kumega bure acha wamsaidie,waje wapime HIV waanike majibu maana wamezidi
TUKO WANGAPI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!"""""!!!!!!!
 
Kwahiyo sasa hayukonae huyo Brazameni ndo wakarudiana?!!

That is not my Question young man, we si upo hapo TZ, ebu watafute uwaulize kama Eti bado yupo na hiko ki brazameni na uyo Pedeshee waliotajwa.
Am Out
 
Kitu cha kwanza kwa kweli sifagilii uzinzi. Ila ni ukweli usiopingika inaonekana wawili hawa wanapednana kutoka rohoni. Katika dunia hii ni ngumu sana kupata couple ya wote kupendana almost sawa. Hebu kumbuka Penny aliopkuwa na Diamond na Wema akiwa na Diamond halafu upime. Na kwa kuwa wote umri wao ni zaidi ya miaka 18 nategemea wana maamuzi yao binafsi ( Wazazi wanaweza shauri lakini hawawezi lazimisha). Nadhani muda umefika sasa waowane wajenge familia yao.
Nakumbuka mwanzoni Wema aliweka wazi matarajio yao ya kuwa na Kampuni nk. Maneno mengine wayapuuze cha msingi wahalalishe uhusiano wao uwe Rasmi waendelee na maisha yao. Yaliyopita yabaki kuwa historia.

unatia aibu kuhadili maisha ya watu namna hii huna yako?
 
“Umemwona Wema, kwa sasa ana ngozi nzuri yenye afya na iliyo na mng’aro kama alivyokuwa awali,ni nzuri sana yani, ameacha kabisa kutumia dawa za
kung’arisha ngozi hilo ndilo lililonivutia zaidi kwani alisikiliza ushauri niliompa kabla.”

Hiyo ni kauli ya staa aliyetikisa mwaka 2013 bwana Diamond Platnumz aliyoitoa hivi karibuni alipokuwa akizungumza na gazeti maarufu la michezo nchini hivi karibuni.

Diamond amesema Wema ndiye mwanamke anayetamani kuwa naye katika maisha yake, hivyo kauli yake aliyoitoa mwanzo kuhusu kuzaa na Wema ipo mbioni kutimia.

“Miezi kadhaa nyuma niliongea kuhusu nia yangu ya kuzaa na Wema, wakati huo nilikuwa bado na Penny, siwezi kukimbia kivuli changu kwani ukweli unabaki palepale nampenda yule binti, japokuwa wapo wanaosema kwamba sijatulia au natafuta ‘kiki’ kupitia warembo hawa, si kweli, Wema nilikuwa naye kabla ya Penny na vigezo vyangu ni mchumba anayejali kazi yangu na kujua kwamba mimi ni staa nahitajika sehemu yoyote, muda wowote, Wema ni mwelewa.”

Chanzo>>>Diamond Atetea Ngozi Mpya Ya Wema Sepetu: Imekuwa Nzuri Yenye Afya - bkuHABARI

utumbo...
utumbo. ..
utumbo...
utumbo....
utumbo.......
mtoto wa kiume acha kufwatilia ujinga
 
Back
Top Bottom