Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Inaitwa Tit for Tat! Baada ya Ommy Dimpoz kueleza kwa kina kuhusiana na sababu iliyopelekea wakakosana na Diamond, muimbaji huyo wa Salome, amejibu kupitia Instagram.

Majibu ya Diamond ni ya mafumbo kiasi na tayari yamepokelewa kwa hisia tofauti na mashabiki huku wengi wakichukizwa na kauli yake.

Ameandika:

Basi nlivyokuwa Mshamba Nikajua Mtu Mwenye Roho Mbaya na Mbinafsi Mungu ndio Humuadhibu na Kumfelisha kwa Roho Mbaya lake ili asifanikiwe… halaf Mwenye Roho nzuri Mungu Humlipa kwa Kumfanya afanikiwe zaidi na zaidi…. Asa nashangaa Mwenye Roho Mbaya eti Mungu ndio Kamfanikisha, halaf Maskini ya Mungu Mwenye roho nzuri eti Miguu juu…..au pengine labda Mwenyez Mungu kakosea kidogo kwenye Mahesabu yake..???[https://s] hii nayo ni [HASHTAG]#KOKORO[/HASHTAG] ujue

 
Huyu jamaa anajiona sana, asisahau kua hata mr nice alkua hvo tena pengine kumshnda yeye kwa sku zile! Unatumia mafanikio yako kuwanyanyasa wenzio, kwnz ommy n mvumlivu sana kwa nlvomskia akiongea inaonesha kakomaa sana na s limbuken
 

Yetu macho
 
Mungu azidi kumsimamia Diamond Platnumz, wamezoea kutafuta kiki kupitia yeye.

Mumuache nae awape zake, wakome.

Wakitaka kurudi na nyimbo lazima Diamond y sio Mr. Nice, upwumba umewajaa ila kwake ndio anazidi kushamili

Haya kaenda kazini, njooni nanyi mburudike na show yake.
 
Sina team yoyote ila kwa hizi siku 2 diamond umejishushia hadhi sana.... Halafu si kila afanikiwae huwa ni bless za jah..... Na si kila ambae hajafanikiwa hana bless za jah na haistahili kumbeza.... Mtoaji ni mungu alie hai
 
We halima kimwana umekuja kumtetea domo
 
team fulan mna roho mbaya kama mnavochukia harufu ya chooni
 
Huyu jamaa anajiona sana, asisahau kua hata mr nice alkua hvo tena pengine kumshnda yeye kwa sku zile! Unatumia mafanikio yako kuwanyanyasa wenzio, kwnz ommy n mvumlivu sana kwa nlvomskia akiongea inaonesha kakomaa sana na s limbuken
Acha hasira kwa maendeleo ya mwenzako. . inaelekea ungependa ukiona akianguka. .utafaidika vipi na anguko lake? waache washambuliane watatulia wenyewe
 
Binadamu wengine nadhani walizaliwa na vichwa empty.
 
Hawa waha wawili cku hiz wanatk kua kam wamekula vima nilkua namuheshimu mond na nilkua team yake asilimia 75 na kiba 25 sasa rasmi mimi ni timu kiba originali till now anajishusha sana mbna mwenzie hana makuu
 
haya mambo mda mwingine unakosa hata umlaumu yupi by the way kauli ni kitu cha kujichunga nacho san but let us keep watching the movie in order to deserve the sterling, time will tell. lakini natambua kujiona kila mtu ana hadhi kuliko mwenzie ndio kawaida yetu sie binadamu',- lla naamini huu msemo SILENCE IS A BETTER FRIEND WHO NEVER BETRAY,
Pia kama huna uhakika na kitu unachotaka kuzungumza ni bora mara kumi ya mtu aliyekaa kimya. hivyo kuimailiza bifu ya hawa jamaa ni sisi kukaa kimya na kuwaachia wenyewe. wao ndio wataiona/kuipata faida ama hasara yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…