Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,762
Watu wanafiki sana, Diamond kaanza kutukanwa na kusemwa vibaya siku nyingi sana, lakini siku zote hizo anakaa kimya hajibu chochote. Kama Binadamu lazima tukubali kwamba kuna wakati uvumilivu unafika kikomo. Mwacheni Diamond naye ajibu. Halafu tukumbuke kwamba hadi sasa Diamond bado hajaweka wazi chazo cha ugomvi. Siku atakapojibu ndio tutajua nani mbaya.