Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

mwanaume kamili huwezi kumwita mwanaume mwenzio D
interview nzima D,D,D
lazima kuna walakini
Kumbe na we uliona, nilijua peke yangu, na hyo D anavuoitamka kama anamuita mpenzi wake vile, mid nikaamua kunyamaza isije kuonekana Nina mdo mrefu, hawa wote wana mambo yao nyuma ya nakumbuka domo nae alikia na scandal na chif kiumbe kufanywa mchezo mbaya
 
Hii issue nashangaa watu wanaiona mpya wakati mimi nilishaunyaka ubuyu tokea mwaka 2014.
Inatisha,ndio maana hadi leo nashindwa kuliongelea hili.

Ommy nyembo kweli ni madha faaka, yani kampitia hadi mama yake domo na uzee ule

Siyo habari mpya ila nimeshangazwa kusikia ommy kamlala yule mama

Kilichokuwepo sasa ni tuhuma za Diamond kulala na mama yake (sipendi kabisa kuliongelea hili japo nalijua tokea kitambo)

Wewe hili la Ommy na mama Chibu umelipatia wapi?
Daaaaahh wakuu this is too much! Tusivuke mipaka bhana..

Mimi ndio maana siku hizi nazikimbia hizi nyuzi za celebrities forums!
We need to draw a line somewhere, hebu tujiweke kwenye viatu vyake alafu imagine mtu akuzushie unashiriki tendo la ndoa na mzazi wako! Sio fair wakuu..

Tubishane, tupigane vijembe, tukosoane n.k Upinzani wa jadi uendelee but tusivuke mipaka wakuu!
I feel sory for the guy, I can't imagine how painful it must be for him anavyosoma kwenye mitandao ati analala na mama yake! Sio fair..
 
Chief Kiumbe alimvisha PRADO na kumrarua Marinda..
 
Mkuu hio habari ilitoka kwenye gazeti moja uchwara ommy akaelezea kwamba uvumi kama huo ukisambaa siyo watu wote watakataa kuamini, hivyo diamond angefikiria kwamba anavyoongea mwenzake anapumuliwa ni kwa namna gani inamuathiri sababu watu wameamini kweli jamaa anapumuliwa bila kuwa na ushahidi wowote kisa diamond kasema
 
tukisema wanasema tunahate
 
Mkuki kwa nguruwe eeh?
 
Na kweli siri ya matajiri wetu wa kibongo ni ujanja ujanja, dhuluma kwa sana, ushirikina & roho mbaya ndio vipaumbele kwao. .
hata duniani kote wana story ila lazima kuna aliyeumia ili awe alipo .. hakuna usawa kwenye mafanikio
 
tukisema wanasema tunahate
Labda mpenzi wake kweli maana dunia ya sasa kila kitu kinawezekana, usikute povu linamtoka kachukulliwa ommy wake na mwarabu, mmh kila wajat anaita D ilikua kidogo amuite baby tu
 

Mkuki kwa nguruwe eeh?
Tusihamishie ugomvi kwa wazazi! Kama vipi dimpoz/au nyinyi humu mzushe kuwa chibu anapumuliwa na sallam au vyovyote vile lakini sio kuwaingiza wazazi kwenye hili suala alafu kwa mtindo kama huu daaaahh..

Kumbuka dimpoz wazazi wake wametangulia mbele za haki na watu wanaheshimu hilo! Sio sawa kuwadhalilisha wazazi kiasi hiki..

Anyway, mnaweza mkaendelea tu kujadili hayo mambo kuhusu wazazi!
Ila haijakaa poa kabisa..
 
Nimepata point yako....[emoji40]
 
D ,D
bora kiba anaitaga diamond
hivi kweli.... D kama mimi nnavomwita bwana angu Dee
Mi ndo siendekezagi team mavi, ukizingua nakupa live, eti D kabisa anaona raha mwrnyewe mmh.. Ommy michezo mibaya atakua anafanya kweli ila domo tu hajatumia hekima kutopoka hadharan mbona yeye anafanya kaz na madhoga kibao lake kwake, mmh domo Ana mdomo hauna break mwanaume Yule khaa
 
Huyu jamaa anajiona sana, asisahau kua hata mr nice alkua hvo tena pengine kumshnda yeye kwa sku zile! Unatumia mafanikio yako kuwanyanyasa wenzio, kwnz ommy n mvumlivu sana kwa nlvomskia akiongea inaonesha kakomaa sana na s limbuken

Diamond kamnyanyasa wapi mwenzake??

Diamond collabo anaunganishiwa na Sallam, Ommy yuko na Sallam kila siku. Kwa nini Ommy asimwombe Sallam amuunganishe kwa hao wasanii wa kimataifa anaowataka???

Yaani Ommy anang'ang'aniza ukaribu na mtu ambae ashamove on kwenye maisha mengine??

Si akae na Kiba kwani Lazima Diamond??
 
D ,D
bora kiba anaitaga diamond
hivi kweli.... D kama mimi nnavomwita bwana angu Dee
Heee...!! Sasa mbn umeweka picha tofaut my dear..?? Nafurah nimegundua jina unalojiita JF. Nakumbuka unavyoniita D huku jicho limelegea kma linataka kudondoka. Hatar sn..!!
 
Ukiona watu zaidi ya wa3 huelewani nao jiulize wewe vizuri huenda ww ndo una matatizo
 
Ukiona watu zaidi ya wa3 huelewani nao jiulize wewe vizuri huenda ww ndo una matatizo
Hater hana sababu na hata akiwa nazo ni za kipuuzi! Chukulia bifu la Kiba na Diamond ambalo Dimpoz jana alilizungumzia! Diamond kamshirikisha ngoma Kiba... baadae sijui kaonaje; akatoa kipande cha Kiba akaingiza vocal mwenyewe! Kuona hivyo, Kiba aka-mind... kwa madai kwamba kwanini hakumjulisha!!!

Fine... hata kama; kwani endapo angepotezea yeye Kiba angeathirika nini?! Mbona kisela ilikuwa rahisi tu hata kumpigia simu na kumwambia: "Yaani we dogo unanipotezea muda wangu halafu kipande changu unafuta... poa bhana, si umeshakomaa sio! Usiniombe tena hayo mambo!" Baada ya hapo, mnaendelea as if hakuna kilichotokea! Si ndivyo watu wanavyofanya... kinyume chake, Kiba aka-mind wakati lilikuwa jambo la kijinga tu!!
 
Ningekuwa nimesoma IT ningetengeneza App inayomhusisha Mondi na Kiba then nipige hela. Ata kwa kubetisha watu kibifu bifu kuliko kilasiku kutokwa mishipa kuyashabikia majitu afu yanatugeuza vichaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…