fdizzle
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,902
- 2,396
Kwani nae wapi kamtaja ommy ktk hayo maneno?Hayo maneno si mazur kabisa kuongelewa na mtu kama yeye,na hakuna sehem yoyote aliyotajwa na Ommy kuwa ana roho mbaya namshaur Ommy anyamaze kimya hili suala litapita tuu
Kiongozi ukweli ni kwamba wanamchokoza wenyewe, akiwajibu ooh hata mr. Nice alikuwa juu kuliko mond.
Tuseme ni kweli mond hakumsaidia ommy, je nje ya ommy mobdi kasaidia wangapi kuwainua kisanii mpaka sasa?
Na nisaidie kunielewesha yeye ommy na wengine wamewasaidia vipi wasanii wadogo ili wajulikane na kufanikiwa katika kazi zao za muziki?
Mtu analianzisha akijibiwa anatafuta huruma ya watu