Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Hayo maneno si mazur kabisa kuongelewa na mtu kama yeye,na hakuna sehem yoyote aliyotajwa na Ommy kuwa ana roho mbaya namshaur Ommy anyamaze kimya hili suala litapita tuu
Kwani nae wapi kamtaja ommy ktk hayo maneno?
Kiongozi ukweli ni kwamba wanamchokoza wenyewe, akiwajibu ooh hata mr. Nice alikuwa juu kuliko mond.
Tuseme ni kweli mond hakumsaidia ommy, je nje ya ommy mobdi kasaidia wangapi kuwainua kisanii mpaka sasa?
Na nisaidie kunielewesha yeye ommy na wengine wamewasaidia vipi wasanii wadogo ili wajulikane na kufanikiwa katika kazi zao za muziki?
Mtu analianzisha akijibiwa anatafuta huruma ya watu
 
Ama kweli masikini akipata Matako ulia mbwata! Uyu jamaa anafikiri mafanikio katika huu ulimwengu yamaanisha Mungu yupo pamoja nawe? Eb afahamishwe haache ushamba na ufinyu wa mawazo na atambue ukiwa na roho mbaya kama yake utaish miaka mingi sana na mafanikio utapata ila atambue Mungu s wa ulimwengu yeye n mbinguni!
 
Ibiris uwajaza wake tena haraka tu! Ila Mungu n wa subira sanaa so om asikate tamaa ila tu yampasa atambue wajibu wake.
 
Watu wanafiki sana, Diamond kaanza kutukanwa na kusemwa vibaya siku nyingi sana, lakini siku zote hizo anakaa kimya hajibu chochote. Kama Binadamu lazima tukubali kwamba kuna wakati uvumilivu unafika kikomo. Mwacheni Diamond naye ajibu. Halafu tukumbuke kwamba hadi sasa Diamond bado hajaweka wazi chazo cha ugomvi. Siku atakapojibu ndio tutajua nani mbaya.
Na uzalendo umemshinda baada ya kutukaniwa mama yake na uyo ommy akaweka like ktk post aliyotukanwa mama mond then people znakuja kumlaun diamond
Akili ndogo tabu sana, yaani mimi unitukanie b mkubwa angu alafu nicheke na wewe, hiyo ngumu aisee
 
Ama kweli masikini akipata Matako ulia mbwata! Uyu jamaa anafikiri mafanikio katika huu ulimwengu yamaanisha Mungu yupo pamoja nawe? Eb afahamishwe haache ushamba na ufinyu wa mawazo na atambue ukiwa na roho mbaya kama yake utaish miaka mingi sana na mafanikio utapata ila atambue Mungu s wa ulimwengu yeye n mbinguni!
Yaan mmmh
 
Nasikia hizi bifu zinawapandisha chati pia? Waendelee lakini amani iwepo.
 
Na uzalendo umemshinda baada ya kutukaniwa mama yake na uyo ommy akaweka like ktk post aliyotukanwa mama mond then people znakuja kumlaun diamond
Akili ndogo tabu sana, yaani mimi unitukanie b mkubwa angu alafu nicheke na wewe, hiyo ngumu aisee
Kabisaa, watu walitaka aendelee kukaa kimya tu. Mtu anatukanwa matusi ya nguoni kiasi kile halafu Ommy Dimpoz analike, wakati huo huo zipo tetesi kwamba yule dogo alikuwa analipwa na baadhi ya wasanii kwa ajili ya kumtukana Diamond. Ni kwa sababu tu kesi imeshapelekwa kwenye vyombovya sheria hivyo si rahisi Diamond akawataja hao wasanii kwa sababu itakuwa anaingilia ufanyaji kazi wa mamlaka za kisheria.
 
Hii mitandao iko vp mfano mtu yoyote maarufu kaongea jambo flani basi coment za kwanza huwa ndo zinatoa muongozo na zaidi sana kama atacoment mtu maarufu bas kama ni nzur watu watacoment ivyo pia kama ni mbaya vilevile wengi huwa hawatoi kile wanachowaza,hawafikirii
 
Diamond ndo nani? Tafadhali mnapoweka uzi kama huu mtoe maelezo ya kutosha.
 
Sema diamond anaongea sana na hii itamshushia credibility yake
 
Huyu jamaa anajiona sana, asisahau kua hata mr nice alkua hvo tena pengine kumshnda yeye kwa sku zile! Unatumia mafanikio yako kuwanyanyasa wenzio, kwnz ommy n mvumlivu sana kwa nlvomskia akiongea inaonesha kakomaa sana na s limbuken
Mr nice hajawahi kufikia robo ya mafanikio ya mond, hii bifu wacha ommy alipe alichokianzisha, wamezidi sana kumsema jamaa kawakalia kimya, hivi sasa wacha awape kama wanavyotaka
 
Hater hana sababu na hata akiwa nazo ni za kipuuzi! Chukulia bifu la Kiba na Diamond ambalo Dimpoz jana alilizungumzia! Diamond kamshirikisha ngoma Kiba... baadae sijui kaonaje; akatoa kipande cha Kiba akaingiza vocal mwenyewe! Kuona hivyo, Kiba aka-mind... kwa madai kwamba kwanini hakumjulisha!!!

Fine... hata kama; kwani endapo angepotezea yeye Kiba angeathirika nini?! Mbona kisela ilikuwa rahisi tu hata kumpigia simu na kumwambia: "Yaani we dogo unanipotezea muda wangu halafu kipande changu unafuta... poa bhana, si umeshakomaa sio! Usiniombe tena hayo mambo!" Baada ya hapo, mnaendelea as if hakuna kilichotokea! Si ndivyo watu wanavyofanya... kinyume chake, Kiba aka-mind wakati lilikuwa jambo la kijinga tu!!
U always on domo side binamu
 
Daaaaahh wakuu this is too much! Tusivuke mipaka bhana..

Mimi ndio maana siku hizi nazikimbia hizi nyuzi za celebrities forums!
We need to draw a line somewhere, hebu tujiweke kwenye viatu vyake alafu imagine mtu akuzushie unashiriki tendo la ndoa na mzazi wako! Sio fair wakuu..

Tubishane, tupigane vijembe, tukosoane n.k Upinzani wa jadi uendelee but tusivuke mipaka wakuu!
I feel sory for the guy, I can't imagine how painful it must be for him anavyosoma kwenye mitandao ati analala na mama yake! Sio fair..
My dearest The bold...kama umenisoma kwa umakini ni kwamba hiyo issue niliinyaka kitambo sana.Like two years ago ila kutokana na uzito wake nimeshindwa kabisa kuliongelea.

Na hata leo nimesisitiza sipendi kabisa kuliongelea.
Wakati mwingine busara huhitajika ktk mambo kama haya,na ndicho nilichokifanya.
Laiti kama ningeamua kulishikia bango hili Wallah ungenichukia!
Ila nimeamua kuwa tofauti.
Nitasikitika kama hujaliona hilo.
 
Tusihamishie ugomvi kwa wazazi! Kama vipi dimpoz/au nyinyi humu mzushe kuwa chibu anapumuliwa na sallam au vyovyote vile lakini sio kuwaingiza wazazi kwenye hili suala alafu kwa mtindo kama huu daaaahh..

Kumbuka dimpoz wazazi wake wametangulia mbele za haki na watu wanaheshimu hilo! Sio sawa kuwadhalilisha wazazi kiasi hiki..

Anyway, mnaweza mkaendelea tu kujadili hayo mambo kuhusu wazazi!
Ila haijakaa poa kabisa..
Lakini wakati unataka busara itumike katika hili kumbuka aliyeanzisha ni Diamond.
Kitendo cha kumuambia mwenzie anaanzisha bifu kisa alikataa kumpumulia mbona sijaona ukikilaani?

Kwanini busara zako zinaegemea upande mmoja tu?
 
Sasa hapo nan kakurupuka Mond kafanya interview leo na jamaaa kaomba kesho yake ooooh ohhh mnamlaum Mond
 
Ukitaka kutoka kisaniii lazma mond ahusike na ashawaambia waache bifu za uchochoron waje live wapige kazi watengeneze pesa
 
Back
Top Bottom