Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Mi najua we humchukii manake inategemea sana hiyo cku umeamkaje au kama umevuta bhangi au umepiga viroba!! Leo unaweza ukawa unamporomoshea mitusi tu bila sababu za msingi kiasi kwamba wasiokujua wakadhani upo Team Kiba lakini baada ya cku mbili ukikuta posts za Kiba utaanza kumponda Kiba na kesho unakuwa upande wa Dai! Yaani it's like unaumwa homa za vipindi--
 
Siku zako zahesabika kijana labda umtoe tiffah ujisafishe na kujitakasa, mungu mungu, mungu yupi Babu? Au unajisahaulisha
 
Sivuti bangi wala miraa, no vile sinaga ushabiki mavi kumshabikia mtu hata akikosa

Nimependa ruge alivyouliza kati ya zari na wema anamchagua nani, rugs kajibu daimond
 
Sivuti bangi wala miraa, no vile sinaga ushabiki mavi kumshabikia mtu hata akikosa

Nimependa ruge alivyouliza kati ya zari na wema anamchagua nani, rugs kajibu daimond
Hebu wadanganye wageni wa JF lakini sio mimi bhana!! Hivi kwako wewe Lady JD huwa anakosea?! Wewe sio kwamba sio shabiki maandazi bali ni Bwana Sherehe... unakoelekea mdundiko ndiko utakoenda wewe! Ukija Celebrities ukakuta mada ya kumponda Dai au Kiba; utaponda hapo na mitusi juu lakini bila sababu! Ukija baadae ukakuta mada ya kusifiwa; unabadili gia angani na ndio maana nikakuambia as if una homa za vipindi
 
Jamani ifike mahali wamuache Chibu afaidi maisha yake. Amekataliwa sana na kila mtu aliona kuwa huyu jamaa hawezi lolote maishani. Leo nimesikia Ruge anasema walimkataa Chibu pale THT kisa eti hana kipaji. Same thing ikimkuta kwenye bongo star search. Alipoanza kutoka akapeleka nyimbo zake Dstv Dar lakini wakamkatalia. Meneja wake Sallam akaamua kwenda kuingizia nyimbo yake kwenye Dstv Nigeria. Fikiria ukataliwe home lakini upambane kwenda kutokea kwenye nchi ya watu. Sasa amekomaa akatoka ndo watu wanasema oh ana roho mbaya, mara ni mbinafsi. Tufike mahala tuwe na aibu...
Mf. Tunamuona Trump wa USA. Media nyingi zilimsema vibaya na hakuonekana kama atashinda urais. Sasa kashinda hawajui hata wasemeje. Wameduwaa tu.
Kama Chibu alikataliwa lakini akapambana akataoka basi na wengine wapambane ila waache kumhangaisha jamaa kwa maneno. Hata kama amejiunga kwa Illuminati wamwache maana its his own life. Hamkumsaidia kwenye kupambana kaeni kimya kama hajavunja sheria za nchi kwenye maisha yake.
 
Huyo ndo mtoto wa Tandale, hakuna kulaza damu hata kidogo, ukimwaga ugali sisi tunamwaga mboga mpaka waelewe
 
Ummy dimpo kaleta balaa ili tumuamini atuonyesha kwanza dem wke kma hana atuonyeshe bwana yake
 
Sasa huo utata aloutatua ni upi na hayo maandiko alojibu alimaanisha nini ?Hueleweki ,eleza vizuri ueleweke
 
Acha hasira kwa maendeleo ya mwenzako. . inaelekea ungependa ukiona akianguka. .utafaidika vipi na anguko lake? waache washambuliane watatulia wenyewe
Hakuna anayefurahia anguko la mwenzake. Ila tunasema, na hii ni natural tu, kuwa ukiwa nacho na ukaongezea busara, inakuwa njema zaidi.
 
Nataka kuamini si umaskini. If you want to think deep.
 
Zero brain
 
Hata wewe unajifanya uko wise but tell you what? You know very little about this saga.
 
Hata wewe unajifanya uko wise but tell you what? You know very little about this saga.
Did I claim anywhere that I am wise? I doubt and if the answer is NOT then your allegations are pure CR'AP! That's one but second, you can claim to know more about this saga only if you're Diamond and at the same time, you're that Dimpoz guy! You don't sound like any of them, so, being one of them can give you only 50% of knowing the saga correctly but being a third part, your chance will be below 50% and the figure will decline with a distance between you to either of them! For instance, Zari and Rommy are much closer to one of them compared to how Le Mutuz is! So, under normal condition, if Zari knows only 45% of the saga, we expect Le Mutuz to know less than 30%! How far are you from a nucleus? I am afraid, you know little to nothing as well that's why you'd no gut to say anything about it!! Alternatively, all you did was to attack people all the way instead of saying what you know if you really know a thing!!!! Did you get that?

Have a nice weekend!!
 
Duuh
 
wewee Mungu sio jambazi kama unavomfikiria wew Achen vitisho roho mbaya nyie
Nawe pia usimchukulie Mungu ujuavyo, kama ulishawahi pitia mitihani na ilhali wewe ni Muomba Mungu ndo utajua Mungu anahiyari zake
 
Naona limepita fagio la nguvu duuh mods muwege na kahuruma kidogo.
 
Sina team yoyote ila kwa hizi siku 2 diamond umejishushia hadhi sana.... Halafu si kila afanikiwae huwa ni bless za jah..... Na si kila ambae hajafanikiwa hana bless za jah na haistahili kumbeza.... Mtoaji ni mungu alie hai

Kweli kabisa hata matajiri wengine waliupata kwa kuua watu na Leo matajiri wakubwa je wamebarikiwa utoto unamsumbua akikua ataacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…