Nilikua na mawazo kama yako. Diamond kanishangaza..DAH NIMEJIFUNZA KITU KATIKA HILI KWAMBA UNAWEZA UKAWA NA MSHIKAJ WAKO SANA MMEKUA WOTE NA MME HUSTLE PAMOJA YAN UNAMUONA MWANA WAKO KABISA FOR BETTER FOR WORSE, YAN U TAKE HIM/HER AS A BROTHER/SISTER, NA ANAPOFANIKIWA UNAFURAHI, UNA HAMU KUKAA NAYE NA KUSHAURIANA MAMBO MBALIMBALI YA KIMAISHA, LAKIN KUMBE MWENZIO WALA ANAONA SIJUI UTAMPITA AMA VIPI, KUMBE WEWE WALA UKO FINE KABISA UMEWEKA UTU MBELE NA UNA VALUE THAT FRIENDSHIP KAMA MBONI YA JICHO LAKIN MWENZIO ANACHUKULIA POA, MARA ANAKUKWEPA ..LAKIN WEWE U JUST WANTED TO BE THERE FOR EACH OTHER NA SIO NANI ATAMPIKU NANIHayo maneno si mazur kabisa kuongelewa na mtu kama yeye,na hakuna sehem yoyote aliyotajwa na Ommy kuwa ana roho mbaya namshaur Ommy anyamaze kimya hili suala litapita tuu
Hawa waha wawili cku hiz wanatk kua kam wamekula vima nilkua namuheshimu mond na nilkua team yake asilimia 75 na kiba 25 sasa rasmi mimi ni timu kiba originali till now anajishusha sana mbna mwenzie hana makuu
We halima kimwana umekuja kumtetea domo
team fulan mna roho mbaya kama mnavochukia harufu ya chooni
A friend in-need is a friend indeed.Sina team yoyote ila kwa hizi siku 2 diamond umejishushia hadhi sana.... Halafu si kila afanikiwae huwa ni bless za jah..... Na si kila ambae hajafanikiwa hana bless za jah na haistahili kumbeza.... Mtoaji ni mungu alie hai
Binadamu wengine nadhani walizaliwa na vichwa empty.
Kwani Diamond ana tatizo gani awe na maadui kiasi hicho? mara kiba, mara Davido, wema, Jokate bila kusahau baba yake mzazi wote wamemkosea? Diamond siyo malaika acheni kukumbatia ujinga na mkumbusheni Hakuna kinachobaki juu daima matabaka anayojiwekea leo ndo yatakayomuangamizaAcha hasira kwa maendeleo ya mwenzako. . inaelelea ungependa ukiona akianguka. .utafaidika vipi na anguko lake? waache washambuliane watatulia wenyewe
2gether with uSina team yoyote ila kwa hizi siku 2 diamond umejishushia hadhi sana.... Halafu si kila afanikiwae huwa ni bless za jah..... Na si kila ambae hajafanikiwa hana bless za jah na haistahili kumbeza.... Mtoaji ni mungu alie hai
Ndo.nini sasa .
Nilikua na mawazo kama yako. Diamond kanishangaza..DAH NIMEJIFUNZA KITU KATIKA HILI KWAMBA UNAWEZA UKAWA NA MSHIKAJ WAKO SANA MMEKUA WOTE NA MME HUSTLE PAMOJA YAN UNAMUONA MWANA WAKO KABISA FOR BETTER FOR WORSE, YAN U TAKE HIM/HER AS A BROTHER/SISTER, NA ANAPOFANIKIWA UNAFURAHI, UNA HAMU KUKAA NAYE NA KUSHAURIANA MAMBO MBALIMBALI YA KIMAISHA, LAKIN KUMBE MWENZIO WALA ANAONA SIJUI UTAMPITA AMA VIPI, KUMBE WEWE WALA UKO FINE KABISA UMEWEKA UTU MBELE NA UNA VALUE THAT FRIENDSHIP KAMA MBONI YA JICHO LAKIN MWENZIO ANACHUKULIA POA, MARA ANAKUKWEPA ..LAKIN WEWE U JUST WANTED TO BE THERE FOR EACH OTHER NA SIO NANI ATAMPIKU NANI
Diamond tunakupenda, lakini kwa hili taratibu tafadhali, kutangulia sio kufika, safari ni hatua. Uliyemtangulia haina maana kwamba eti "Mungu hajamfanikisha au kamuadhibu" pengine wakati wake haujafika. Ni vema ukachagua maneno ya kuongea na usipendelee kujikweza hadharani huku ukiwabeza watu, haipendezi.Inaitwa Tit for Tat! Baada ya Ommy Dimpoz kueleza kwa kina kuhusiana na sababu iliyopelekea wakakosana na Diamond, muimbaji huyo wa Salome, amejibu kupitia Instagram.
Majibu ya Diamond ni ya mafumbo kiasi na tayari yamepokelewa kwa hisia tofauti na mashabiki huku wengi wakichukizwa na kauli yake.
Ameandika:
Basi nlivyokuwa Mshamba Nikajua Mtu Mwenye Roho Mbaya na Mbinafsi Mungu ndio Humuadhibu na Kumfelisha kwa Roho Mbaya lake ili asifanikiwe… halaf Mwenye Roho nzuri Mungu Humlipa kwa Kumfanya afanikiwe zaidi na zaidi…. Asa nashangaa Mwenye Roho Mbaya eti Mungu ndio Kamfanikisha, halaf Maskini ya Mungu Mwenye roho nzuri eti Miguu juu…..au pengine labda Mwenyez Mungu kakosea kidogo kwenye Mahesabu yake..???[https://s] hii nayo ni [HASHTAG]#KOKORO[/HASHTAG] ujue
View attachment 439038
Nadhani hujamsikiliza dimpoz vizuri,ila kwa akili zenu nyie na mateam yenu hayo mnaona sifa kufanya vitu kwa mihemko bila kufikiria,sio kosa lenuHa ha haaaaaa
Mwambieni Omi atoe hiyo pesa afanye collabo, sababu Davido yupo kwani alimkimbia au?
Kichekesho cha mwaka
Watu wanafanya collabo kwa nini yeye iwe Diamond alimtangulia kwani collabo zilipigwa marufuku tangu
Mbavu zangu, hawa wasaniii wengine umaskini unawasumbua kama omimi
Whats your point thenMpaka ufuatilie mtu basi wewe huna kazi.
Kama uko busy na mambo yako kwanini umfuatilie mtu?
Ooooh mara hana mziki mzuri ooh ana nunua viewers !
Akijibu oooh mbaya
Dunia ya sasa imebadirika sana hata tukiachana na habar za mond na ommy,ukitaka kuishi kwa raha mambo yako ya mafanikio au mipango yako heri uwaambie baba na mama kama hujaoa,au mshirikishe wife au husb au ndugu wa tumbo moja basii,wengine hawapaswi kujua wanapaswa waonee tuu kitu kimeishatendeka umdhaniae ndie kumbe sie na urafiki haufai kbs siku hizNilikua na mawazo kama yako. Diamond kanishangaza..DAH NIMEJIFUNZA KITU KATIKA HILI KWAMBA UNAWEZA UKAWA NA MSHIKAJ WAKO SANA MMEKUA WOTE NA MME HUSTLE PAMOJA YAN UNAMUONA MWANA WAKO KABISA FOR BETTER FOR WORSE, YAN U TAKE HIM/HER AS A BROTHER/SISTER, NA ANAPOFANIKIWA UNAFURAHI, UNA HAMU KUKAA NAYE NA KUSHAURIANA MAMBO MBALIMBALI YA KIMAISHA, LAKIN KUMBE MWENZIO WALA ANAONA SIJUI UTAMPITA AMA VIPI, KUMBE WEWE WALA UKO FINE KABISA UMEWEKA UTU MBELE NA UNA VALUE THAT FRIENDSHIP KAMA MBONI YA JICHO LAKIN MWENZIO ANACHUKULIA POA, MARA ANAKUKWEPA ..LAKIN WEWE U JUST WANTED TO BE THERE FOR EACH OTHER NA SIO NANI ATAMPIKU NANI
Nimekaa nimetafakari, na nimeujua ukweli.Haya mwenye kichwa kilcho jaa
Umefanya nini?