Diamond atoa lugha chafu kwa mashabiki

Diamond atoa lugha chafu kwa mashabiki

Mleta thread una tabia za kike yaani vitu vidogo unakimbilia kufungua thread.
Acha dharau kwa mama zako. Wanaume waliokosa kazi ndiyo tabia zao usiwasingizie wanawake. Vijana fanyeni kazi acheni hizo. Mwacheni modo mnasahau kuwa kunguru hafugiki[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Ni rahisi kumtoa nyani porini ila kutoa unyani wake ni ngumu sana.
 
Hii ndio DAWA YA WAPUMBAVU wanaofatilia maisha ya wanaume wenzao.Cha aajabu utakuta babake ana watoto wa nje lakini hamtukani.

SAPOTI KAZI YA MSANII NA SIO KUINGILIA MAISHA YAKE .....HAYAKUHUSU KAMWE.

Watu wanawaingilia wenyewe wanayaweka wazi sasa unatangaza mpaka kiasi unachompa mzazi mwenzio hivi vitu havifutiki kesho mtoto kakua pa kakutana na video baba anamtukana mama bitch na kutaja matumizi tuweke akiba ya maneno
 
Back
Top Bottom