Acha dharau kwa mama zako. Wanaume waliokosa kazi ndiyo tabia zao usiwasingizie wanawake. Vijana fanyeni kazi acheni hizo. Mwacheni modo mnasahau kuwa kunguru hafugiki[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Mleta thread una tabia za kike yaani vitu vidogo unakimbilia kufungua thread.
Njoo nikutest ili nijidhihirishe kama ni mwanaume Wa shoka...Mleta thread una tabia za kike yaani vitu vidogo unakimbilia kufungua thread.
Cha ajabu kuna hadi wanawake wanasapoti. Kazi ipo!!!Hivi zari angezaa nje akakiri redioni watanzania wasemaji wa familia za watu wangesema 'kosa sio kosa kosa kurudia kosa'
Unataka kutest dushelele langu tafuta mabasha wengine sifanyi huo ujinga.Njoo nikutest ili nijidhihirishe kama ni mwanaume Wa shoka...
kwanini asiamini hiyo screenshot ila akuamini wewe?Na wewe unaamini kua ni yeye. Diamond hajawai Ku reply Text za mashabiki zake.
Hii ndio DAWA YA WAPUMBAVU wanaofatilia maisha ya wanaume wenzao.Cha aajabu utakuta babake ana watoto wa nje lakini hamtukani.
SAPOTI KAZI YA MSANII NA SIO KUINGILIA MAISHA YAKE .....HAYAKUHUSU KAMWE.