Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Wewe Mwenye akili ukute bado unaishi kwenuHuyu dogo hana akili
This is his downfall
Sitaki ugomvi na wewe nitakupigaJe akisimama na wewe sio kwamba wewe ndio utaonekane Bibi yake.
Hakuna kitu...dogo hakujiandaa kuwa supastaa...kalikoroga kwa kiherehere chake cha kupenda kuongeaongea hovyo na media na social networks...Mkuu umeongea point kubwa San BT iyo point umeongea ukiwa nje ya uharisia,,
Mfano huwez kujua uchungu wa kufiwa mpak ufiwe,,,,,
Mfano mwingn nape kapata akil mpak walipomvua uwazir
Mfano mwngn,,,,ni rahic kumshaur MTU asome kwa bidii na akifeli unaanza kumlaum
Sasa tukij kweny usupasta ni rahic kumpa ushaur apige kimya BT ukipewa na wew usupasta ni tofaut
Apo mkuu umesomeka vizr SanHakuna kitu...dogo hakujiandaa kuwa supastaa...kalikoroga kwa kiherehere chake cha kupenda kuongeaongea hovyo na media na social networks...
unakumbuka skendo ya chamelion wa uganda akiwa arusha...alipiga kimya na ikapotea in a thin air...sasa huyu don wa madale kumtia mtu mimba na kuzaa katoyo kamoja nje ndio akaliongelee kwe tv na radio kama nyerere alivyoitangazia dunia vita ya uganda.
Aache upuuzi akuwe na akili zingine za kiume akae na babake mzazi ampatie sio kila siku yeye na wanawake ndio sababu ya kuwa na tabia za kikekike jambo dogo hilooo kwenye media.
Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika...teso la kwanza koromelooo....unayo yamejaa kifuani kolomelo ndio linakutesa kuzuia yasitoke.
Achana naye apambane na hali yake...hiyo kesi ya mobeto itamkosesha amani na furaha maishani...ajiandae kuporomoka kiuchumi na bado seduce me anamkimbiza kimyakimya....mamaaaaeeeee.
Umeona eeeh, anajifanya bingwa wa kufungua zipu. Si alikuwaga anajiita sukari ya warembo acha apambane na kejeli sasa.Zari kishakuacha endelea kutembeza mwenge, usiruke kijiji
Posts sawa na yako zina zaidi ya almost 5 years now! Tangu muanze kusema "this's downfall" ingekuwa hivi sasa hata kufahamika yupo wapi hakuna ambae angefahamu!!!Huyu dogo hana akili
This is his downfall
Sasa wewe mwenye hekima na elimu unamfuatilia mtu asiye na hekima na elimu; hujiona ulivyo mtu wa ajabu?!Huyu mpuuzi ni bonge la mshamba. Sijui mshauri wake mkuu ni mama yake sababu kama akili zao za kukosa hekima +elimu zimeendana
Hakuna mashabiki wa pande mbili! Kuna mashabiki na haters; PERIOD! Mashabiki wanakuwa na yule wanaemshabikia muda wote! Na ndo maana, wakati zamani Diamond alikuwa anaongoza kwa Followers akifuatia Wema, alipoachana na Wema na kwenda kwa Zari, mashabiki wake wakamfuata huko huko kwa Zari na hivi sasa Zari ndie next to Diamond kwa followers!!Unapojiona una usuperstar flan au umaarufu flan na una mashabiki wa pande mbili ni busara nzuri endapo utakua mtulivu kwa mashabiki hata kama wanakuboa si vizur kuwajibu au kurusha vijembe ... Ni kawaida msanii kupendwa na kuchukiwa ...........sasa huyu mwenzetu ndo matako yanalia vile wahenga walivosema au nayeye yumo kwenye albadili
What's so special alichofanya Mobetto hadi Chibu ajute? Hiyo kutoa ushahidi kwamba kazaa na Diamond; au?!Tatizo dogo kazoea sana sasa kwa huyu mabeto kakanyaga cable yaani atajutaa
wako na hamisa, kawaida mbona mapenzi kuvunjika hamna cha ajabu hapoWetu wote Tanzania,,,mama tee vipi halambishi tena watu ndimu[emoji23][emoji23]
Umeona dai kasema hajaoa bado,[emoji23][emoji23] huyo ndio daimond platnumzz chibudee chibude
Miss u sana!Zari kishakuacha endelea kutembeza mwenge, usiruke kijiji