Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Nakuona tangu mwezi uliopita unajipendelea tu maubuyu ya town!Nipo ndugu, nakula tu ubuyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona tangu mwezi uliopita unajipendelea tu maubuyu ya town!Nipo ndugu, nakula tu ubuyu
Watu mna mambo magumu...Safiiiiii sana Mondii the King..
Zari tushamchoka tunataka shemeji mwinginee..
Bibie mamboMmmmh ila kama wema karydi kwa diamond basi wema ni mjinga na atakuwa anawakilisha lile kundi la wanawake wajinga.
Yaan asitake kufa kisa penzi chaaaa!!!!!!
Hivi hanaga cha kuwaza kingine zaidi ya mkuyati wa Mondi?
cacico njoo ujishangalie haya

Hahaaaaaaa Ndio Mwisho wa Akili yake ulipofikia japo kakataa Ila lisemwalo lipo wakati utajibu.Wema anaweza pata mimba sasa kama anakwenda kulala Madale maana kijana ana mbegu balaa.
Lakini jamani miss world nae kwenda kulalia kitanda cha wote Madale!!
MhNakutamani
Mbona ni mjinga kitambo tu au kuna siku alipona?Mmmmh ila kama wema karydi kwa diamond basi wema ni mjinga na atakuwa anawakilisha lile kundi la wanawake wajinga.
Yaan asitake kufa kisa penzi chaaaa!!!!!!
Hivi hanaga cha kuwaza kingine zaidi ya mkuyati wa Mondi?
cacico njoo ujishangalie haya
Mashemeji mmekua na gubu kama mawifi siku hiziSafiiiiii sana Mondii the King..
Zari tushamchoka tunataka shemeji mwinginee..
MnajitekenyaNauli ya south afrika kwa mwezi mara mbili ni ishu,show zenyewe hazisomi,lazima arudi kwa mademu wa tandale
Ulijificha kwenye jani la mgomba mwisho wa siku umeeleweka.....Hakuna kitu...dogo hakujiandaa kuwa supastaa...kalikoroga kwa kiherehere chake cha kupenda kuongeaongea hovyo na media na social networks...
unakumbuka skendo ya chamelion wa uganda akiwa arusha...alipiga kimya na ikapotea in a thin air...sasa huyu don wa madale kumtia mtu mimba na kuzaa katoyo kamoja nje ndio akaliongelee kwe tv na radio kama nyerere alivyoitangazia dunia vita ya uganda.
Aache upuuzi akuwe na akili zingine za kiume akae na babake mzazi ampatie sio kila siku yeye na wanawake ndio sababu ya kuwa na tabia za kikekike jambo dogo hilooo kwenye media.
Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika...teso la kwanza koromelooo....unayo yamejaa kifuani kolomelo ndio linakutesa kuzuia yasitoke.
Achana naye apambane na hali yake...hiyo kesi ya mobeto itamkosesha amani na furaha maishani...ajiandae kuporomoka kiuchumi na bado seduce me anamkimbiza kimyakimya....mamaaaaeeeee.
Mashemji mmekua na gubu kama mawifi siku hizi
AiseeZari kishakuacha endelea kutembeza mwenge, usiruke kijiji
define downfallHuyu dogo hana akili
This is his downfall
au umbea wa watu, kweli alilala? kupasha kipolo??? hawa watu bado wanapendana aisee kama kweliWema anaweza pata mimba sasa kama anakwenda kulala Madale maana kijana ana mbegu balaa.
Lakini jamani miss world nae kwenda kulalia kitanda cha wote Madale!!