Diamond atoa mapovu kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Diamond atoa mapovu kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Mmmmh ila kama wema karydi kwa diamond basi wema ni mjinga na atakuwa anawakilisha lile kundi la wanawake wajinga.

Yaan asitake kufa kisa penzi chaaaa!!!!!!
Hivi hanaga cha kuwaza kingine zaidi ya mkuyati wa Mondi?
cacico njoo ujishangalie haya
Bibie mambo
 
Wema anaweza pata mimba sasa kama anakwenda kulala Madale maana kijana ana mbegu balaa.

Lakini jamani miss world nae kwenda kulalia kitanda cha wote Madale!!
Hahaaaaaaa Ndio Mwisho wa Akili yake ulipofikia japo kakataa Ila lisemwalo lipo wakati utajibu.
 
Kwani
Mmmmh ila kama wema karydi kwa diamond basi wema ni mjinga na atakuwa anawakilisha lile kundi la wanawake wajinga.

Yaan asitake kufa kisa penzi chaaaa!!!!!!
Hivi hanaga cha kuwaza kingine zaidi ya mkuyati wa Mondi?
cacico njoo ujishangalie haya
Mbona ni mjinga kitambo tu au kuna siku alipona?
 
Hakuna kitu...dogo hakujiandaa kuwa supastaa...kalikoroga kwa kiherehere chake cha kupenda kuongeaongea hovyo na media na social networks...

unakumbuka skendo ya chamelion wa uganda akiwa arusha...alipiga kimya na ikapotea in a thin air...sasa huyu don wa madale kumtia mtu mimba na kuzaa katoyo kamoja nje ndio akaliongelee kwe tv na radio kama nyerere alivyoitangazia dunia vita ya uganda.

Aache upuuzi akuwe na akili zingine za kiume akae na babake mzazi ampatie sio kila siku yeye na wanawake ndio sababu ya kuwa na tabia za kikekike jambo dogo hilooo kwenye media.

Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika...teso la kwanza koromelooo....unayo yamejaa kifuani kolomelo ndio linakutesa kuzuia yasitoke.

Achana naye apambane na hali yake...hiyo kesi ya mobeto itamkosesha amani na furaha maishani...ajiandae kuporomoka kiuchumi na bado seduce me anamkimbiza kimyakimya....mamaaaaeeeee.
Ulijificha kwenye jani la mgomba mwisho wa siku umeeleweka.....
 
Mechi Tamu hii aisee,
Mondi kachepuka na Mobetto,
Zari Kachepuka na Ivan

Mchepuko wa Mondi uko hai,
Mchepuko wa Zari (R.I.P)
 
Wema anaweza pata mimba sasa kama anakwenda kulala Madale maana kijana ana mbegu balaa.

Lakini jamani miss world nae kwenda kulalia kitanda cha wote Madale!!
au umbea wa watu, kweli alilala? kupasha kipolo??? hawa watu bado wanapendana aisee kama kweli
 
Back
Top Bottom