Diamond atoa msaada wa mamilioni kwa aliyetobolewa macho na scorpion

Hizo anajua zitarudi zaidi kwa njia ya U-tube angetaka kutoa msaada hamna haja ya kuiweka ktk mitandao
 
Tuache unafiki jamani....huyu si nliskia baba ake mgonjwa??? Sasa kama unashindwa msaidia baba ako mzazi (hata kama alikukosea) kumsaidia mwingine huoni ni unafiki wa kiwango cha lami???
Kwani wewe si mgonjwa ........... (maana mzima hawezi kutuletea habari za kusikia)
 
Tuache unafiki jamani....huyu si nliskia baba ake mgonjwa??? Sasa kama unashindwa msaidia baba ako mzazi (hata kama alikukosea) kumsaidia mwingine huoni ni unafiki wa kiwango cha lami???
Ni unafiki wa kiwango cha mbuyu kuona mtu unatumia simu nzuri na unacomment ujinga jf wakati huo babaako kwenu kule kijijini anakula mlo mmoja...
 
Tuache unafiki jamani....huyu si nliskia baba ake mgonjwa??? Sasa kama unashindwa msaidia baba ako mzazi (hata kama alikukosea) kumsaidia mwingine huoni ni unafiki wa kiwango cha lami???
Ebu acha kuhoji maisha binafsi ya mtu wewe unajua kilichosabibisha
Dimond mpaka kutokuwa karibu na baba ake kuna kipindi BIBI ake Mond alifkia hatua mpaka akawaita wachawi yeye na mamake kisa tuu walitakaenda mtazama mzee wake akiwa amelazwa kwamba wamenda mmalizia mwanae hospital.....Bad enough waliuzaga nyumba ya familia kariakoo but licha ya kupata mapesa mengi katika mgao stil bado hakuwajali kwa namna yoyote ile....Ningekuwa mm dimond hata jina lake ningelitoa XO UNAONGEA TUU KWA SABABU HUJUI WHAT BEYOND THAT THEN HAYAJAKUKUTA XO BADO UNA IMANI YA MZAZI KUWA NI MUNGU WA PILI..
DUNIANI BUT UNASAHAU KUWA MUNGU NI MKAMILIFU KWA 100% WAKATI BABA WA DUNIA SI AJABU UKASIKIA KATEMBEA NA BINTI YAKE WA KUMZAA...
 
Tuache unafiki jamani....huyu si nliskia baba ake mgonjwa??? Sasa kama unashindwa msaidia baba ako mzazi (hata kama alikukosea) kumsaidia mwingine huoni ni unafiki wa kiwango cha lami???
Huo sio unafiki, baba yake alipomtelekeza alikuwa anasaidiwa na nani kama sio watu baki tu! Yaan nyie msiyowahi kutelekezwa na wazazi mnachukulia mambo simple simple tu mpaka mnabore[emoji57]
 
Uwiiiii jamani hizo ice cream hapo kwa avatar [emoji24] [emoji24] [emoji24] .
Siku hizi sizioni...hadi namiss skuli.
 
Tuache unafiki jamani....huyu si nliskia baba ake mgonjwa??? Sasa kama unashindwa msaidia baba ako mzazi (hata kama alikukosea) kumsaidia mwingine huoni ni unafiki wa kiwango cha lami???
Kweli we upepo[emoji16]

Jaribu kutelekeza mwanao, then aje akue afanikiwe kimaisha, halafu peleka tumbo lako kuomba msaada[emoji23]
 
Tuache unafiki jamani....huyu si nliskia baba ake mgonjwa??? Sasa kama unashindwa msaidia baba ako mzazi (hata kama alikukosea) kumsaidia mwingine huoni ni unafiki wa kiwango cha lami???

Mkuu nadhan sasa unaingilia majukumu ya watu....anayepaswa kumshauri huyu kijana kuhusu baba yake ni mama yake,sasa ww hili jukumu umejivisha uhusika gani hapa?
 
Safi sana kuwajali wenye uhitaji, ila kuhusu baba yako hayo ni ya familia huwenda unamsaidia ila haridhiki, anampango wa kupata zaidi ya umpacho binadamu tuna hila, ila Dai endelea na moyo wa kusaidia wahitaji mwaya.
 
Tuache unafiki jamani....huyu si nliskia baba ake mgonjwa??? Sasa kama unashindwa msaidia baba ako mzazi (hata kama alikukosea) kumsaidia mwingine huoni ni unafiki wa kiwango cha lami???
Siri ya mtungi aijuaye kata.

Mwenye kumjuwa baba'ko ni mama'ko.
 
Back
Top Bottom