Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
anataka kuwa mdhamini... hana muda na majukwaa mwezi huu was Nov. hivi mofaya INA matangazo ya maredioni na kwa mativii kama ilivyo azam zote, mo zote, D karanga etc... kama hana matangazo ana mkakati gani wa kimasoko?? au ndio king kiba... mfalme juhaAli Kiba achangamkie fursa hii.
Jaribu bahati yakoSijui na mimi nirekodi?[emoji5]
Bob junior alimpigia simu Ali K akiwa USA kwenye show..akamuuliza kuna dogo amekuja kurekodi studio..Kiba akamwambia fanya nae kazi..dogo mwenyewe ni Nasibu Abdul wengi mnamwita Diamond Platnumz.....Diamond mkombozi wa sanaa ya Tanzania. Wasanii wanaomponda hawajawai ifanyia kitu sanaa yetu zaidi ya mashauzi.