Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Mwanamuziki wa kimataifa,kutoka WCB,Diamond platnumz ametoa shavu kwa wasanii wachanga kutunga wimbo mfupi na kuhusu Wasafi FM 88.9 washindi watano watapata nafasi ya kurekodi bure kwenye studio kubwa nchini na kushoot video kwa Hanscana na Zoom production huku yule atakayefanya vizuri zaidi atapata nafasi ya kusainiwa na WCB.....kazi kwenu vijana Mungu awape nini tena?