Ambilikisye anna
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 561
- 501
Safi kijana..naona upande wa pili wanatamani kujinyonga kwa bublish
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa sasa ametufanya wabongo tujulikane hasa nenda youtube uangal ie reaction videos toka nchi mbalimbali inshort jamaa yuko juu....si mchezo ..picha yako kuonekana billboard sio spoti spoti
😀😀😀😀Hata kiba kawekwa kwenye hyo list sema hater tu wameedit ahahahahahaha
Watakujaa
Hata msanii wetu atakuwa ameandikwa huko sema tu hataki Show off...Moja ya ndoto nyingi za mastaa kibao wa muziki ni kupata nafasi Billboard. Diamod amepata bahati hio baada ya kuandikwa kwenye makala ya mtandao huo wa BILLBOARD.
Katika picha ambayo imewekwa kwenye makala hiyo, Diamond amewekwa pamoja na wasanii wengine wanne kutoka Afrika Magaribi akiwemo Wizkid, Davido na Tiwa Savage.
Kwenye makala hiyo ambayo imewaonyesha wasanii hao inazungumzia juu ya lebo kubwa za muziki duniani zinavyoangazia Afrika kumpata staa ajaye wa Pop duniani.
Hilo limekuja ikiwa ni siku chache zimepita baada ya kampuni ya Universal Music Group ambayo pia inasimamia kazi za Diamond, kupitia tawi lake la nchini Uholanzi ilitangaza kununua hisa asilimia 70 za lebo ya AI Records ya nchini Kenya.
UMG watakuwa wanafanya kazi za kusambaza kazi za wasanii wa Al Records duniani kote ikiwemo kwenye mitandao mikubwa tofauti tofauti ya muziki.
We wish you all haters to have nice day !! View attachment 717655
Have a nice dayMoja ya ndoto nyingi za mastaa kibao wa muziki ni kupata nafasi Billboard. Diamod amepata bahati hio baada ya kuandikwa kwenye makala ya mtandao huo wa BILLBOARD.
Katika picha ambayo imewekwa kwenye makala hiyo, Diamond amewekwa pamoja na wasanii wengine wanne kutoka Afrika Magaribi akiwemo Wizkid, Davido na Tiwa Savage.
Kwenye makala hiyo ambayo imewaonyesha wasanii hao inazungumzia juu ya lebo kubwa za muziki duniani zinavyoangazia Afrika kumpata staa ajaye wa Pop duniani.
Hilo limekuja ikiwa ni siku chache zimepita baada ya kampuni ya Universal Music Group ambayo pia inasimamia kazi za Diamond, kupitia tawi lake la nchini Uholanzi ilitangaza kununua hisa asilimia 70 za lebo ya AI Records ya nchini Kenya.
UMG watakuwa wanafanya kazi za kusambaza kazi za wasanii wa Al Records duniani kote ikiwemo kwenye mitandao mikubwa tofauti tofauti ya muziki.
We wish you all haters to have nice day !! View attachment 717655
Na sisi tung'arishe za kwetu.Kijana nyota inazidi kung'aa