Diamond atua Billboard kwa kishindo kizito

Safi sana na hongera zake. Mara zote huwa nasikia faraja kubwa ninapoona kijana mwenzangu anafanikiwa. Ni vyema wengine pia wakajitahidi wafike huko na kutambulika zaidi sio kutambulika Leaders tu
 
Hata msanii wetu atakuwa ameandikwa huko sema tu hataki Show off...
 
Have a nice day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…