Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Safi sana Diamond, amepiga bonge la show kuna watu kibao walikuwa wamekaa wanasubiri wapate la kuzungumza...Diamond kawafunga midomo.
Big up Diamond....umekata ngebe.
Yaah dogo amefanya kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana Diamond, amepiga bonge la show kuna watu kibao walikuwa wamekaa wanasubiri wapate la kuzungumza...Diamond kawafunga midomo.
Big up Diamond....umekata ngebe.
nilihofia asitegue ulimi tu.....
Ila wimbo wa moyo wangu hakuuimba vyema(mtazamo wangu)
Majungu Majungu Majungu..... Hvi kuongea "English " ni issue eh!!????
Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
Kwa swala la english alikua ameshaambiwa maswali atayoulizwa hivyo alikua na majibu tayari, lakini bado namsifu nadhani pia anajua english hata kama sio kihivyo. Alifanya vyema sana hakuharibu popote pale maana wabongo wapo kwaajili ya kuponda tu. He made Tz proud.
Asante Kongosho kwa kunichekesha lol!ulitaka maswali yawe magumu ya nini?
Mie kule kuweza zungumza tu, nimependa sana.
Alivyotwa nikajua TZ tumeumbuka, katema yai nikaruka kama nimekalia tuthpik.
Hahahah hahaha hahah hahah !hivi mwalimu wake ni nani?
Natafuta nijifunze jamani, nimechoka kuumbuka.
Nilienda mahali panya akawa ndani, afu wenzangu hawajui kiswahili, mie panja simjui kwa kizungu.
Nikawauliza do you know Tom and Jery? Wakajibu Yes.
Nikawaambia Jery is inside.
hivi mwalimu wake ni nani?