Diamond atuzwa ufalme wa kuwa Mtumbuizaji Bora Afrika

Diamond atuzwa ufalme wa kuwa Mtumbuizaji Bora Afrika

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264

Wiki iliyopita kuibuka mzozo wa Burnaboy na Diamond nani mkali

Jana kwenye show ya MTV Base Afrika kijana wetu kagongelea msumari hakuna wa kumzidi kwenye perfomance stejini au kokote akifanya show

Hadi B Dozen kakubali mzigo aliopiga Diamond, leo akiwa live kwenye kipindi cha XXL japo hakumtaja as Diamond ila kasema Bwana Almasi kaua.

Katika channel ya Youtube ya MTV Base Africa katika comments 1650, hadi sasa wengi waliokomenti ni watu wa nje na katika comments hizo asilimia takribani watu 9 katika kila watu 10 wamemzungumzia na kumpongeza msanii wetu Diamond Platnumz

Watu kutoka pande marekani, dubai, london, nk walitoa yao ya moyoni

Mimi nje ya nchi hua najitambulisha natokea kule anakotokea magufuli

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jana mond alitisha nimepitia page ya Instagram ya burna boy mashabiki wanamshambulia Sana kwa performance ya kawaida aliyoonesha.
Top 5 yangu ya walioperform vizuri
1.Diamond
2.Davido
3.AkA
4.Sauti sol
5.nasty C

Top 3 ya walioperform kawaida
1.sho madjoz
2.Burna boy
3.Pedro

Show mbovu ilikuwa moja
1.Nandy
 
ao sauti soul waliimba utumbo tupu
 
Mm billnaz sijapenda comment yako heshimu mademu wa mabrooo
 
ao sauti soul waliimba utumbo tupu
Kila mtu ana mtazamo wake lakini kwangu sauti sol wamefanya poa nimependa set up nzuri ya bendi yao na namna walivyoongeza ubunifu kwenye ngoma ya insecure wakati wanaimba live.
 
Mm billnaz sijapenda comment yako heshimu mademu wa mabrooo
Wewe billnas ndio ulimfanya girl friend wako aperform vibaya naona mlipiga mechi before ya show sio vizuri hivyo utamuharibia mwenzako kazi.
 
Back
Top Bottom