matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
kufanya kama alivofanya iekutangulia au kumzidi alietangulia
ok...tupe na mifano hai,dai kavunja rekodi ipi?iliyowekwa na nani? na yeye kaja kuivunja vp iyo rekodi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kufanya kama alivofanya iekutangulia au kumzidi alietangulia
kwa kifupi huyu ndio m bongo wa kwanza atakaechukua tunzo za chanel zaidi ya moja kwa mkupuo mda sio mrefu yupo katika categories kama tano hivi
ok...tupe na mifano hai,dai kavunja rekodi ipi?iliyowekwa na nani? na yeye kaja kuivunja vp iyo rekodi?
wewe mvivu kufuatilia wanamziki wengine zaidi ya domo
haina kelele mzeepole sana yaani we ni mmoja katika bilioni moja google basi na kwa kifupi huyu ndio m bongo wa kwanza atakaechukua tunzo za chanel zaidi ya moja kwa mkupuo mda sio mrefu yupo katika categories kama tano hivi
Usimlinganishe duly na plutnum sikiliza nyimbo nyingi za duly utaona uzaifi wake.
Fa haingii kabisa kw plutnum kwa nyimbo zake za kushirikishwa akitowa mwaka1 hadi2 ipite tena
Profesa alichuja kwa sbbu alikuwa sio mbinifu wa kubadilika kwa hiyo watu wakamzoweya ku rap kwake sikiliza nyimbo zake mpya azihit kwa sbbu habadiliki awe anahimba si kila siku ku rap
Jd siwezi kumzungumzia dada yetu hiyu kwani ni mfano wa kuigwa toka enzi za machozi. Enzi hizo tilikuwa hatukosi kwenye uzinduzi wa msani na ma concet ma tamasha mm nampongeza jd
Diamond kwa kweli nampa pongezi sana tu kwa muziki wa hivi ss ulivo tanuka na kuzalisha wasanii kibao kila siku bado unakuwa kila sk ww namba 1 simchezo timpe ongera zake
Kuhusu kubadili madem yy si wa kwanza naona kazi ya mziki ndio chanzo cha madem kushoboka na kuwa karibu ma plitnum na si hapa tu huko ma juu msanii kunadili dem kitu cha kawaida