Diamond avunja record

kufanya kama alivofanya iekutangulia au kumzidi alietangulia

ok...tupe na mifano hai,dai kavunja rekodi ipi?iliyowekwa na nani? na yeye kaja kuivunja vp iyo rekodi?
 
kwa kifupi huyu ndio m bongo wa kwanza atakaechukua tunzo za chanel zaidi ya moja kwa mkupuo mda sio mrefu yupo katika categories kama tano hivi

ebu fafanua hapo please!
 
ok...tupe na mifano hai,dai kavunja rekodi ipi?iliyowekwa na nani? na yeye kaja kuivunja vp iyo rekodi?

mr nice to years on spot, jay de 4 years of spot qchief 3 years of spot, tmk 5 year of spot,juma nature 6 years of spot, hii ni miaka ya kua na hits mfululizo bila kutoka kwenye umaarufu wako mfano suma lee ni zaidi ya miaka mitatu sasa hayupo on spot
 
wewe mvivu kufuatilia wanamziki wengine zaidi ya domo

Usimlinganishe duly na plutnum sikiliza nyimbo nyingi za duly utaona uzaifi wake.

Fa haingii kabisa kw plutnum kwa nyimbo zake za kushirikishwa akitowa mwaka1 hadi2 ipite tena

Profesa alichuja kwa sbbu alikuwa sio mbinifu wa kubadilika kwa hiyo watu wakamzoweya ku rap kwake sikiliza nyimbo zake mpya azihit kwa sbbu habadiliki awe anahimba si kila siku ku rap

Jd siwezi kumzungumzia dada yetu hiyu kwani ni mfano wa kuigwa toka enzi za machozi. Enzi hizo tilikuwa hatukosi kwenye uzinduzi wa msani na ma concet ma tamasha mm nampongeza jd

Diamond kwa kweli nampa pongezi sana tu kwa muziki wa hivi ss ulivo tanuka na kuzalisha wasanii kibao kila siku bado unakuwa kila sk ww namba 1 simchezo timpe ongera zake

Kuhusu kubadili madem yy si wa kwanza naona kazi ya mziki ndio chanzo cha madem kushoboka na kuwa karibu ma plitnum na si hapa tu huko ma juu msanii kunadili dem kitu cha kawaida
 
pole sana yaani we ni mmoja katika bilioni moja google basi na kwa kifupi huyu ndio m bongo wa kwanza atakaechukua tunzo za chanel zaidi ya moja kwa mkupuo mda sio mrefu yupo katika categories kama tano hivi
haina kelele mzee
 

uzaifu_____________udhaifu
wakamzoweya_____wakamzoea
azihit_____________hazi hit
anahimba__________anaimba
hiyu_______________huyu
tilikuwa____________tulikuwa
timpe ongera________tumpe hongera
kunadili_____________kubadili
samahan mkuu kiroho safi tu...huu uharibifu wa lugha sio mzuri bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…