Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

SAD.. ujinga ulio tukuka.
 

Kwa uchangiaji wa aina hii , i better reserve my energy kudebate na mtu wa type hii ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
dini hijui masikini umebaki na kutukana tu.
NB: Uimbaji wowote unaohusisha MAAZIF(Ala za muziki) ni HARAMU hata kama lyrics (mashairi) yake yatakuwa yanamtaja Mungu.
 
Kibo10

Wewe Bavicha maswala ya dini huyajui bora ukae kimya!
 
Last edited by a moderator:

Ndugu kama wewe ni muislam safi ningekushauri tu haya ma mitandao uyaweke pending kwanza hadi mfungo uishe.
 
Nyota ya huyu jamaa itakuwa inawaka ikizima inang'aaa. ........! kama kuna fursa ya hela piga kijana maana huna kiinua mgongo cha uzeeni kama watumishi wa umma
 
Kwani imeandikwa wapi mwezi huu mtu hautakiwi kufanyakazi inayokuingizia kipato......? Tumia akili ndio nyie mnashinda msikitini mpaka masheikh wanawafukuza

Mkuu tatizo sio kuingiza kipato, tatizo NJIA INAYOTUMIKA kuingiza hicho kipato. Kwa imani yake diamond(uislamu) hatakiwi kufanya anachokifanya iwe ni ramadhani au mwezi mwengine.
huu msemo wa "ile ni kazi kama kazi nyingine" unatumika vibaya sana. Kama ni ishu ya kuingiza kipato ,je wanaouza gongo,mwili nao waachwe tu kisa wanaingiza kipato? Think wisely mkuu. Dunia tunapita, tufanye kazi za halali zitakazotupatia vipato vya halali(kwa mujibu wa imani zetu) ili kesho mbele ya Mungu tuwe mahala salama.
 

As u sayed you better reserve your energy, haya mambo ni magumu sana mwisho wa siku wote tunaweza kujikuta motoni siku ya mwisho (kama kweli huo moto upo)

Hata hao wanaofanya kazi halali kuna haramu ndani mfano, mwalimu anayetembea na mwanafunzi wake, nesi anayekataa kumuhudumia mgonjwa kwa makusudi, mhasibu anayechakachua (few mentioned)

Tuache tabia ya kuchagua ni zipi dhambi wakati zingine tunazipaka rangi nzuri ili zisionekane kuwa ni dhambi!
 
Watu wanamtetea,wanampenda diamond zaidi ya dini
 
ngoja mashabiki wa domo waje kukumtetea halafu anadai hana njaaa et? yani team domo wao kila kitu wanatetea ngoja waje team ndumbaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…