Diamond awa mtanzania wa kwanza kutembea na mbwa fukwe za mbali

Diamond awa mtanzania wa kwanza kutembea na mbwa fukwe za mbali

oh God help me!
mtanzania wa kwanza kufanya niini?

Teh teh watu wanapenda sana sifa za kijinga! Ina maana hakujawahi kutokea m tz kutembea na mbwa usa! Some threads are full of shit.
 
Kofia yenyewe imeandikwa Nuts ikimaanisha Crazy
 
So what?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums wireless internet
 
View attachment 168691

Wazungu walimshangaa sana kwa muonekano wake wa kisupastaa na bei ya mbwa huyo ilivyo ghali ambapo inaaminika kwa bongo inaweza kutosha kununua verossa.

Big up Dangote platinum...haters watakoma mwaka huu.
Huu uzi hauna lengo la kumsifu
diamond kama wengi wanavyo weza kufikiri!
 
Du na mwezi wa ramadhani kwa kweli hapo hana chembe ya muelekeo wa kistaa anaonekana kama katumwa kukusanya mbwa koko wa America
 
Ngoja nikuulize jambo moja! Hivi unafahamu ni kwanini mtu anaweza kutoka Posta (Dar) hadi Kimara kwa mguu na wala asidhuriwe... na anaweza kufanya safari za namna hiyo mara kadhaa na bado akawa salama hata kama yeye si mpiganaji hodari? Kama hufahamu, sababu ni kwamba duniani watu wema ni wengi kuliko waovu vingenevyo usingeweza kufika hata jangwani!

Kwa upande mwingine, hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini hujawahi kuta watu wamekunya mbele ya mlango wenu ingawaje ni rahisi kufanya hivyo wakati mmelala? Kama hufahamu ni kwamba watu wenye roho za chuki na kuendeshwa na chuki duniani ni wachache kuliko wasiotaka kuendeshwa na chuki.


Ukifahamu hilo utagundua hata nyie wenye chuki na kumwombea mabaya Diamond ni wachache kuliko wanaomuombea mema kwa sababu watu wanaosukumwa na kuishi ndani ya chuki dhidi ya watu wengine mpo wachache. Ukifahamu hilo, utagundua kwamba mnajidhalilisha mbele ya macho ya waungwana! Mtu muungwana hata akosewe namna gani katu hawezi kumtakia mabaya yule aliyemkosea seuze nyie ambao Diamond hajawakosea chochote lakini tu mnaona akipata ataringa... eti atawatambia, aaaaargh! Unataka kusema wewe upo karibu na Diamond hadi uone akipata atakutambia???!!!


LAKINI mmefika kiwango cha kutia aibu pale mnapotunga hadithi humu jamvini kisa tu kutaka kumchafua!!! Mungu angekuwa ni mwenye kusikiliza dua za watu kama nyie basi pasingekuwepo na mwenye mafanikio lakini kv staili ya dua zenu anayezipa nguvu ni shetani na Mungu ndie mwenye nguvu kuliko shetani basi wala msitarajie kwamba mtafanikiwa!!! Kwa sie wa-Islamu tunaamini mwenyezi wa Ramadhani Shetan anapigwa minyororo kwahiyo hata msaidizi wa dua zenu chafu hataweza kuwasaidia!!!!


Nimalizie tu kusema kwamba, kwa staili ya uandishi wako, unaonekana bado u kijana, probably under 30... kama ndivyo, basi am afraid ukiwa unasukumwa na kuishi kwenye chuki wakati ukiwa kijana mdogo, basi ukiwa mzee utakuwa mchawi.... Shetani ni uhaini wake wote huwa anamwombea mwanadamu afanikiwe katika mambo yake kv anaamini kufanikiwa kwake ndiko ambako kunaweza kumrahisishia kazi ya kumpoteza! Sasa wewe katika hili unamzidi hadi shetani!!
 
Kuna watu sasa wameanza kukufuru...itafikia wakati flani sasa Diamond mtaanza kumuabudu bila nyie kujitambua...mwanzisha mada sijui ni kejeli ama maazimio yake ni kumsifu Diamond...
Fahamu ule msimo "Mgema akisifa tembo hulitia maji"...sasa endeleeni kumpa sifa za kikumbavu halafu baadae tuone kutaendaje
 
hapana mkuu wewe huwajui mbwa, huyo mbwa ndio shape yake ingia Google angalia aina mbwa utaelewa tena hao kwa ulinzi ni balaa, hapa natumia simu ningekushushia vitu.

Kwaiyo huyo mbwa hapo anamlinda Dai??!
 
naona huko ni kama beki tatu tu watu wanavyompotezea, hawa mbwa wako maalum kupiga pichA KAMA WALIVYO WALE NGAMIA KULE KIGAMBONI
 
Back
Top Bottom