Diamond awaandikisha shule ya kimataifa ,watoto walioshinda kucheza ngololo

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Nitangulize samahani kwa kuchelewa kuwaletea habari hii humu japo tulishaiweka on thisisdiamond.com,wanaotembelea
huko wAshaona story na picha.

Story ni kuwa,juzi Diamond alitimiza ahadi yake ya kuwasomesha watoto walioshinda kucheza ngololo ikiwa ni pamoja na
kuwatoa saint Kayumba na kuwapeleka shule nzuri zaidi.kawapeleka shule ya East africa internation school iliyopo Mikocheni.
na ada ikiwa ni milion 3 kwa mtoto na atawasomesha mpaka watakapomaliza std 7.

picha zaidi:
pichani ni Diamond akitimiza maombi
ya wanafunzi walioomba sign yake kwenye vitabu vyao kama kumbu kumbu
THIS IS DIAMOND PLATNUMZ
 

Attachments

  • IMG_0162.JPG
    657.7 KB · Views: 560

Hongera sana Diamond,MUNGU atakupa zaid,endelea na moyo huo kwan ni wachache sana wenye moyo kama wako.Ubarikiwe
 
Mwenyezi Mungu katuelezea namna ya kutoa sadaka,si kujitangaza na mapicha
 
yaani wabongo bana saa nyingine mnaboa sana diamomd ni mtu maarufu alihahidi kuwasomesha hao watoto katimiza ahadi pr wake kaja kutoa taarifa ile ajasi imeshatimizwa sasa kuna ubaya gani angekaa kimya mngesema diamomd tapeli.diamond mungu akuzidishie uwe na uwezo wa kusomesha watoto zaidi ya hao ameen
 
Nampongeza sana kwa hilo, ila inachukuliwa tahadhari gani ya kuhakikisha watamaliza shule endapo ikitokea kashuka kibiashara kwani mziki ni biashara na kuna kupanda na kushuka au vinginevyo huku hao watoto wakiwa bado hawajamaliza shule? Ada yao itakuwaje?

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Na wema ashamnunulia nyumba tayari? ?
 
Katika jambo ambalo linasikitisha ni Diamond kuwa na mpiga picha/msemaji(kwenye mitandao hasa jf) mwenye uandishi wa aina ya heaven on desert.




Kibaya zaidi hupendi kufanyia kazi ushauri unao pewa.



Nahisi kuna sababu ya kuwa na interview na Diamond hapa jf.
 
Last edited by a moderator:
Acha wivu wewee,hamnaga jambo nzuri kwenu.Roho mbayaaa tu.

Sio roho mbaya kiongozi, unapotoa sadaka mkono wa kulia inatakiwa ujitahidi mkono wa kushoto usijue! Kama ushasahau kuna baadhi ya watu wakati wa maafa ya mafuriko jangwanI waligoma kutoa misaada mpaka wapiga picha waje????
 

Well n good, tunaomba ufafanuzi kuhusu Diamond kupewa gari na mwanaume mwenzake Chief Kiumbe pasipo na mkataba wowote wa kibiashara?

Pia ikumbukwe kuna kashfa ya maceleb kubebeshwa unga imetamalaki, je Diamond unamsafisha vipi kwenye hili? Ni kweli Chief Kiumbe ni mkalimu kiasi hicho? Na ikithibitika Diamond anabonyezwa kizenj au ni punda nini yatakuwa maamuzi yako?
 
Kutoa lazima utangazie? Ni kama kuwasimangia wale unaowasaidia na Mwenyezi Mungu hapendi

Mbona Mengi anatangaza,JK kipindi cha sikukuu anatangaza kuwa wametoa mchele kwa watoto yatima
 
Mwenyezi Mungu katuelezea namna ya kutoa sadaka,si kujitangaza na mapicha

Kutoa ni kutoa tu ilimradi umtoe matatizoni muhitaji, Kikwete mwenyewe akipeleka Mbuzi na mchele kwa mayatima hutangazwa sembuse Diamond?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…