Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,774
Utalaaniwa wewe unaeshabikia usivyovijua,kama kafir sawa,kama muislam mwanachama wa bakwata unaejua dini ni maulid
Mkuu Ni sawa kabisa unampomsaidia mtu haitakiwi utangaze maana kama unatoa kwa mkono WA kulia basi WA kushoto usijue, kwani wangapi wanasaidia watu bila kutangaza, haikubaliki hata