Diamond awaandikisha shule ya kimataifa ,watoto walioshinda kucheza ngololo

Utalaaniwa wewe unaeshabikia usivyovijua,kama kafir sawa,kama muislam mwanachama wa bakwata unaejua dini ni maulid

Mkuu Ni sawa kabisa unampomsaidia mtu haitakiwi utangaze maana kama unatoa kwa mkono WA kulia basi WA kushoto usijue, kwani wangapi wanasaidia watu bila kutangaza, haikubaliki hata
 
Utalaaniwa wewe unaeshabikia usivyovijua,kama kafir sawa,kama muislam mwanachama wa bakwata unaejua dini ni maulid

Kafir nani? Wewe maskini lofa kabisa mvaa vipedo......

Mnakataza watu kutumia internet wakati nyinyi mnakesha nazo teknlojia iliyoletwa na makafir paka shume wewe.
 
mi nampongeza kwa hilo lakini ushauri wangu awalipie ada hadi hiyo darasa la 7,kwan hawezi jua huko mbele soko lake litakuwaje asije wapa shida wazazi wa watoto badae.
 
Kafir nani? Wewe maskini lofa kabisa mvaa vipedo......

Mnakataza watu kutumia internet wakati nyinyi mnakesha nazo teknlojia iliyoletwa na makafir paka shume wewe.

Mipovu
 
Mbona mkali? Anakuweka mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…