Diamond awajibu Team Wema

Jokate nilikuwa namuona wa maana baada ya kutoka na domo ndipo alipojishusha hadhi kwa watu wengi

Tatizo kwani ni nini sio m/ume au physical appearance yake? Unaambiwa sura mpelekee mama yako kwenye hela watavumilia.
Hushangai Kylin sijui kyline anamuita Mengi Baby na kapanga leba kutoa pacha!

Ogopa kitu kinachoitwa Pesa kabisaaa!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Mimi nadhani Jokate mumtambuwe tu kama muhitimu wa chuo kikuu tu na siyo msomi kabisa. tena hili la kwenda kukatishwa mauno nimelipata leo humu maana Fiesta mimi huwa sifuatilii hayo mambo.

Ha ha ha ha mkuu mbona SUGU alienda kukata mauno fiesta ya Mbeya au ndo KIKI za jimbo?


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Kweli mamiss bila wanaume ni buuureeee

Huyo jokate nae from miss tz to mwanamuziki atoe colabo na shilole sasa...
Na ile ya kumtafutia Rio Paul mabwana si ndi inachosha zaidi ....wanawake wanaojitambua mjini ktk hawa wauza sura namba moja ni Jide ( japo mi siko kwa boat take)
 
Yani na jojo mulemule tu kwakweli angetumia fursa angekua mbali zaidi ya hapo na fiesta naye alikuwa anaimba ina maana naye sijui ni mwanamziki vichwa vingine ni shiida
Imagine yuko stejini anapiga show ndo maana watu wanadharau elimu kwamba haina mpango. Muone millen na maconection yake. Pale ni elimu kidogo+exposure+idea nzuri hata km sio kubwa sana unakaa meza kubwa na watunga Sera wa dunia kiulainiii ila ndo kaamua kukata viuno na huo utangazaji. Hataki shida kutumia kalamu ila hajui inaweza mlisha hadi kufa na akawaajiri watz walio wengi.
 
Diamond kawajibu vzur sana...team wema chaliiii,ila soon wataachana tena,wasipoachana nalala uchi kona baa tigo ikiwa juu..cku tatu..

sasa blaza kuliko kuiweka hiyo tigo yako kona baa si bora uilete kwangu hiyo kitu niifanyie kazi.
 
Wao wanachane tu hata sisi tulikua na ndoto ya kutembea na miss Tanzania..sasa wakioana chance itatoka wapi? ma miss wengine wagumu
 
Leo usiku nilikuwa naangalia kipindi cha boys boys Tv1 anachohost Mwisho Mwampamba mgeni alikuwa Mtanzania Nando aliyeshiriki BBA mwaka 2013.

Basi Mwisho akamuuliza kushiriki BBA umeeaidika na nini? labda connection fulani au milango fulani ilikuwa imefungwa sasa inafunguka?

U cant beleive the guy alichojibu sasa hivi akienda Club halipi kiingilio ila yeye ndio huwa sometime analipwa, Pili hata akipita airport Bongo sasa anajulhkana na anapewa care fulani hivi.

kwakweli sikuamini kama huyu Mtanzania amekaa muda Marekani kama yuko shallow namna ile, Hivi ameshndwa hata kujuwa Mwisho Mwampamba yupo Tv1 lakini connection ile source yake ni big brother?

Usimshangae sana Jokate hata archivement ndogo anazofanya itakuwa na kutoa papa lake kunahusika hana akili kichwani.
 
Dogo amekula Sana sembe ndio imemharibu. lishawekwa rehab mbona
 
Dogo amekula Sana sembe ndio imemharibu. lishawekwa rehab mbona
Mimi wala simjui ndio mara ya kwanza namuona leo alikuwa kituko tu kwangu, anaulizwa Mwisho ulijisikiaje ulivyoingia ndani ya nyumba ya BBA? anaanza kusifia sigara free paketi kibao wakati mtaani paketi buku tatu, friji ina kila kitu nikiamka tu nadaka apple natafuna etc. blah blah kibao.
 
Hahaaaa apples zimemchanganya



 
Reactions: amu
Ukweli unauma jamani,domo kaamua kujibu kumbe ndo kaharibu.hivi hana manager angemshauri jinsi ya kuandika.maanake kamwaibisha tu baby yake.
 
asante kwa ujumbe huu..lakini mungu atafichua tu uovu wote mwaka huu kwa ajili ya watoto wa watu wanaoharibika.
Stuka weweee!
Hujui kazi ya wema mikoani?
Hujui kazi ya Diamond nje ya nchi?
Hujui kazi ya Liz moko mashariki ya mbali!
Heem mi nilale nikuwe mrefu!
 
matola umeuwa hujui kama kuna single mother kwenyee huu uzi.wanaficha mimba hao utaona picha tu ya mtoto facebook lakini mababa hawajulikani.
Kwakweli hawa si wakulaumiwa na hapa single Mother wameprove fairule. Ila Jokate naye kichwa chake kina matatizo gani?
 
nyie mnaomsema Jokate mbona sijaona cha ajabu pale...... hata alivyokua anacheza ni classic ofauti na Mama wa vigodoro na kitorondo.

kina Niki wa pili si hao wana masters na wanapanda jukwaani....
 
jokate juzi alikua anatangaza bidhaa za dewji
yule mjanja huwezi linganisha na wema
yule antafta jina ili apge pesa ndo maana anajituma sana
huwezi mlinganisha "kate kate "na wema

the girl yuko next level..... huwezi mlinganisha na wema hata kidogo kwahiyo ana utilize every opportunity she gets.

kwahiyo ukiwa na degree usipande jukwaani kuimba....
 
Diamond kawajibu vzur sana...team wema chaliiii,ila soon wataachana tena,wasipoachana nalala uchi kona baa tigo ikiwa juu..cku tatu..


Hahahahahah utupe Tarehe Mkuu utakayo lala tigo juu tuje kunywa Kona Baa heheheheeh! Umepinda
 
teamwema baada ya kuambiwa watafute ndimu kama wamechefuliwa.

naona wameamua kufunga kampeni yao ya #bringbackourwema wamekutana na mswahili wa tandale.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…