Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jokate nilikuwa namuona wa maana baada ya kutoka na domo ndipo alipojishusha hadhi kwa watu wengi
Mimi nadhani Jokate mumtambuwe tu kama muhitimu wa chuo kikuu tu na siyo msomi kabisa. tena hili la kwenda kukatishwa mauno nimelipata leo humu maana Fiesta mimi huwa sifuatilii hayo mambo.
Na ile ya kumtafutia Rio Paul mabwana si ndi inachosha zaidi ....wanawake wanaojitambua mjini ktk hawa wauza sura namba moja ni Jide ( japo mi siko kwa boat take)Kweli mamiss bila wanaume ni buuureeee
Huyo jokate nae from miss tz to mwanamuziki atoe colabo na shilole sasa...
Imagine yuko stejini anapiga show ndo maana watu wanadharau elimu kwamba haina mpango. Muone millen na maconection yake. Pale ni elimu kidogo+exposure+idea nzuri hata km sio kubwa sana unakaa meza kubwa na watunga Sera wa dunia kiulainiii ila ndo kaamua kukata viuno na huo utangazaji. Hataki shida kutumia kalamu ila hajui inaweza mlisha hadi kufa na akawaajiri watz walio wengi.Yani na jojo mulemule tu kwakweli angetumia fursa angekua mbali zaidi ya hapo na fiesta naye alikuwa anaimba ina maana naye sijui ni mwanamziki vichwa vingine ni shiida
Diamond kawajibu vzur sana...team wema chaliiii,ila soon wataachana tena,wasipoachana nalala uchi kona baa tigo ikiwa juu..cku tatu..
Leo usiku nilikuwa naangalia kipindi cha boys boys Tv1 anachohost Mwisho Mwampamba mgeni alikuwa Mtanzania Nando aliyeshiriki BBA mwaka 2013.Imagine yuko stejini anapiga show ndo maana watu wanadharau elimu kwamba haina mpango. Muone millen na maconection yake. Pale ni elimu kidogo+exposure+idea nzuri hata km sio kubwa sana unakaa meza kubwa na watunga Sera wa dunia kiulainiii ila ndo kaamua kukata viuno na huo utangazaji. Hataki shida kutumia kalamu ila hajui inaweza mlisha hadi kufa na akawaajiri watz walio wengi.
Dogo amekula Sana sembe ndio imemharibu. lishawekwa rehab mbonaLeo usiku nilikuwa naangalia kipindi cha boys boys Tv1 anachohost Mwisho Mwampamba mgeni alikuwa Mtanzania Nando aliyeshiriki BBA mwaka 2013.
Basi Mwisho akamuuliza kushiriki BBA umeeaidika na nini? labda connection fulani au milango fulani ilikuwa imefungwa sasa inafunguka?
U cant beleive the guy alichojibu sasa hivi akienda Club halipi kiingilio ila yeye ndio huwa sometime analipwa, Pili hata akipita airport Bongo sasa anajulhkana na anapewa care fulani hivi.
kwakweli sikuamini kama huyu Mtanzania amekaa muda Marekani kama yuko shallow namna ile, Hivi ameshndwa hata kujuwa Mwisho Mwampamba yupo Tv1 lakini connection ile source yake ni big brother?
Usimshangae sana Jokate hata archivement ndogo anazofanya itakuwa na kutoa papa lake kunahusika hana akili kichwani.
Mimi wala simjui ndio mara ya kwanza namuona leo alikuwa kituko tu kwangu, anaulizwa Mwisho ulijisikiaje ulivyoingia ndani ya nyumba ya BBA? anaanza kusifia sigara free paketi kibao wakati mtaani paketi buku tatu, friji ina kila kitu nikiamka tu nadaka apple natafuna etc. blah blah kibao.Dogo amekula Sana sembe ndio imemharibu. lishawekwa rehab mbona
Mimi wala simjui ndio mara ya kwanza namuona leo alikuwa kituko tu kwangu, anaulizwa Mwisho ulijisikiaje ulivyoingia ndani ya nyumba ya BBA? anaanza kusifia sigara free paketi kibao wakati mtaani paketi buku tatu, friji ina kila kitu nikiamka tu nadaka apple natafuna etc. blah blah kibao.
Stuka weweee!
Hujui kazi ya wema mikoani?
Hujui kazi ya Diamond nje ya nchi?
Hujui kazi ya Liz moko mashariki ya mbali!
Heem mi nilale nikuwe mrefu!
Kwakweli hawa si wakulaumiwa na hapa single Mother wameprove fairule. Ila Jokate naye kichwa chake kina matatizo gani?
Diamond kawajibu vzur sana...team wema chaliiii,ila soon wataachana tena,wasipoachana nalala uchi kona baa tigo ikiwa juu..cku tatu..
jokate juzi alikua anatangaza bidhaa za dewji
yule mjanja huwezi linganisha na wema
yule antafta jina ili apge pesa ndo maana anajituma sana
huwezi mlinganisha "kate kate "na wema
Diamond kawajibu vzur sana...team wema chaliiii,ila soon wataachana tena,wasipoachana nalala uchi kona baa tigo ikiwa juu..cku tatu..