Mwanaume mzima umekalia umbea tuu sometimes take ur tym to do ur staffs
Hahahahaha anashobokea mamso sio? Nando akili kisodaMimi wala simjui ndio mara ya kwanza namuona leo alikuwa kituko tu kwangu, anaulizwa Mwisho ulijisikiaje ulivyoingia ndani ya nyumba ya BBA? anaanza kusifia sigara free paketi kibao wakati mtaani paketi buku tatu, friji ina kila kitu nikiamka tu nadaka apple natafuna etc. blah blah kibao.
So the same to WemaNimeshangaa.
Tukisoma,Tusiimbe?
Tukisoma,Tusipende?
Tukisoma,Tusikosee?
Tukisoma,Tunakuwa Perfect!
She Has Got The Right To Make Her Own Mistakes.......
Nashukuru we we umeweza kunielewa uko na big IQKuna wanawake wana uzuri tu kichwani hamna kitu lakini wanajua kuutumia uzuri wao na level walizo nazo hakuna mwanaume na akili zake anaweza fika. Huyu angechanganya uzuri wake na akili zake maana sio mweupe kihivyo angekuwa icon wa hataree! Demu mkali na smart kidogo kichwani akiamua kuipursue opportunity ni mara chache sana anaikosa (this is unwritten law).
hao ndo walimwengu
yaani kila kitu wanasema na kunyoosha vidole
wao hawajui binadamu ameumbiwa mapungufu
wao km watakatifu
Ukiwasikiliza binadamu hata chooni utakuwa huendiii...
Utaambiwa we si una degree wewe...sisi tunavyojua wenye degree hawa.nyi...
Diamond kawajibu vzur sana...team wema chaliiii,ila soon wataachana tena,wasipoachana nalala uchi kona baa tigo ikiwa juu..cku tatu..
Si bora kiuno chenyewe kiwepo!Wema kila mtu hapa bongo anajua Daimond ni mtu wako sio lazima utumie nguvu kubwa kulithibitisha hilo, wasanii wote wana wapenzi wao ushawahi kuona wamepanda nao kwenye hayo mafiesta kukata viuno? I
Mwanamke stara, kaa tulia home au fanya shughuli zako mwache mzee afanye mambo yake, sasa wewe ukacheze show hao wacheza show waliajiriwa wa nini? Mtoto wa kike stara viuno vyako muoneshe chumbani
Si bora kiuno chenyewe kiwepo!
Anabaki kuchezesha nyama za tumbo tu kama lori la mkaa lililokosa senta bolti!
Mxeeeeeeeew!
Ukikereka kunywa vinegar kabisa!ndimu haitoshi!
diomond akustahil kujibu lolote..kwa hii team ya wema angakaa kimya kama ni muelewa.
hahhahahahahahahahahaa, aisee you made my day.
Nimecheka hadi nimepaliwa
Jamani tupeni habari ya dangote na Menina
Wema unajilazimisha mapenzi na dangote utashaaaaaa hana habari na wewe utamkumbuka clement mpaka ufeeee na hiv domo anamsikiliza mama yake we ndio kwanza mama humsikiliziiii dangote komesha hilo wemalaya mpaka lizeeke halina kitu