Diamond awajibu Team Wema

Diamond awajibu Team Wema

Mwanaume mzima umekalia umbea tuu sometimes take ur tym to do ur staffs

nakushangaaa baada uende kwenye forums za kizee unazama huku ktk forumz za vijana sasa tukusaidie nini mume au ... hku ni habari za mastaa na ufyonsi wako mixiuuuu
 
Mimi wala simjui ndio mara ya kwanza namuona leo alikuwa kituko tu kwangu, anaulizwa Mwisho ulijisikiaje ulivyoingia ndani ya nyumba ya BBA? anaanza kusifia sigara free paketi kibao wakati mtaani paketi buku tatu, friji ina kila kitu nikiamka tu nadaka apple natafuna etc. blah blah kibao.
Hahahahaha anashobokea mamso sio? Nando akili kisoda
 
Ndyo ujue wema ni kilaza kiasi gani yaan washabiki Wake wameona kuna kitu hakipo sawa kwny maisha yake lkn ye mwenyewe haja notice chochote...........inashangaza
 
Kuna wanawake wana uzuri tu kichwani hamna kitu lakini wanajua kuutumia uzuri wao na level walizo nazo hakuna mwanaume na akili zake anaweza fika. Huyu angechanganya uzuri wake na akili zake maana sio mweupe kihivyo angekuwa icon wa hataree! Demu mkali na smart kidogo kichwani akiamua kuipursue opportunity ni mara chache sana anaikosa (this is unwritten law).
Nashukuru we we umeweza kunielewa uko na big IQ
 
hao ndo walimwengu
yaani kila kitu wanasema na kunyoosha vidole
wao hawajui binadamu ameumbiwa mapungufu
wao km watakatifu

Unenena vyema ila huishi kile unachokinena. Ungeushi kile unachokinena hata ya Wema usingeyashabikia since na yeye ni wanadam km alivyo jokate. Ila Kama walimwengu w
Tusingekuwa hivi mada km za mama watermark rk na wengineo Zisingekuwepo. Mwisho tukubali kutofautiana kimtizamo mama. Unachokiona Kama kizuri kwq mwengine ni kibaya
 
Ukiona hivyo jua kitorondo remix inataka kuja kamshirikisha nelly vocal ameingiza kwa Dr Dre
 
Wema kila mtu hapa bongo anajua Daimond ni mtu wako sio lazima utumie nguvu kubwa kulithibitisha hilo, wasanii wote wana wapenzi wao ushawahi kuona wamepanda nao kwenye hayo mafiesta kukata viuno?
Mwanamke stara, kaa tulia home au fanya shughuli zako mwache mzee afanye mambo yake, sasa wewe ukacheze show hao wacheza show waliajiriwa wa nini? Mtoto wa kike stara viuno vyako muoneshe chumbani
 
Jamii yetu inaelezewa vizuri na hii picha. Kila ukifanyacho lazima watu wakosoe, so fanya unachoona kwako ni sahihi ilimradi havunji sheria wala kumoffend mtu
 

Attachments

  • 1408101493709.jpg
    1408101493709.jpg
    98.3 KB · Views: 386
Nakumbuka wema aliveshwa pete pale maisha club,,....ghafla akapigwa chini,akaja akatoswa jukwaani pale Mlimani city....mbele ya kadamnasi zawadi yake ikapigwa chini na maneno ya kashfa kibao toka kwa Diamonds na huyo domo akaapa kuto rudiana tena na Wema lakini leo wapo tena wanaibiana tu,wema karudi kwa domo ili amwibie vizuri hivyo vihela vyake na huyo domo nae wala hamna anachofaidi kutoka kwa wema maana huyo wema ni papa la mjini lishasuguliwa na marungu yasiyo na idadi hapa mjini
 
Diamond kawajibu vzur sana...team wema chaliiii,ila soon wataachana tena,wasipoachana nalala uchi kona baa tigo ikiwa juu..cku tatu..

hahhahahahahahahahahaa, aisee you made my day.
Nimecheka hadi nimepaliwa
 
Wema kila mtu hapa bongo anajua Daimond ni mtu wako sio lazima utumie nguvu kubwa kulithibitisha hilo, wasanii wote wana wapenzi wao ushawahi kuona wamepanda nao kwenye hayo mafiesta kukata viuno? I
Mwanamke stara, kaa tulia home au fanya shughuli zako mwache mzee afanye mambo yake, sasa wewe ukacheze show hao wacheza show waliajiriwa wa nini? Mtoto wa kike stara viuno vyako muoneshe chumbani
Si bora kiuno chenyewe kiwepo!
Anabaki kuchezesha nyama za tumbo tu kama lori la mkaa lililokosa senta bolti!
Mxeeeeeeeew!
Ukikereka kunywa vinegar kabisa!ndimu haitoshi!
 
Si bora kiuno chenyewe kiwepo!
Anabaki kuchezesha nyama za tumbo tu kama lori la mkaa lililokosa senta bolti!
Mxeeeeeeeew!
Ukikereka kunywa vinegar kabisa!ndimu haitoshi!

Kiuno kigumu hichooooo sipati picha yaan pamoja na kutatuliwa marinda kiuno kigumu tu khaaa!!! Kalio halielewekii kama chapat yenye masikio
 
diomond akustahil kujibu lolote..kwa hii team ya wema angakaa kimya kama ni muelewa.

Mwanaume akikupenda hawez sema hadharani sifikiriii kuoa hawezi sema msanii wenu wakati ni mpenzi wako utamuongoza pia kumuweka njia sahihi
Sasa wema ashajilazimisha kua na domo wakati domo hajui kupendq
 
daaa Heaven on Earth mimeipenda hiyo....mana ata mm nilicheka mwenyewe nilipo ona eti kama imewauma katafuteni ndimu mlambe.......
 
Jamani tupeni habari ya dangote na Menina
Wema unajilazimisha mapenzi na dangote utashaaaaaa hana habari na wewe utamkumbuka clement mpaka ufeeee na hiv domo anamsikiliza mama yake we ndio kwanza mama humsikiliziiii dangote komesha hilo wemalaya mpaka lizeeke halina kitu

Jamani menina ni nani namsikia tu lakini sielew na dangote kuna nini
 
Back
Top Bottom