Mkuu nimeamini Masha mshikaji wako....niliona tangu kule kwenye celebrity forum ulimvyotetea kuhusu kile kimada chake up to now......
Sauti ya umeme FMES nasikia ile mikataba mibovu ilisainiwa na kampuni ya mshikaji wako Masha.Hili unalizumziaje mkuu?
matola umeuwa hujui kama kuna single mother kwenyee huu uzi.wanaficha mimba hao utaona picha tu ya mtoto facebook lakini mababa hawajulikani.
Naona alichojibu kiko directed zaidi kwa Wema na sio hizo team.Ameonyesha mambo matatu.1-kuwa wema anamarafiki wabaya.2-anapenda starehe au unywaji wa pombe.3-hapendi kufanya kazi.Ninauhakika ile message hata wema haijamfurahisha.Kamwita huyo msanii wenu...inamaana hajui jina lake?...ukisoma kwa makini ile message utaelewa naongelea nini.Wema needs to strike while the iron is still hot!!!!!!:flame:
Mbona hiyo koment ya tigo nimeiona kwenye blog ya sintah..ina maana wanakopi koment au
by stata mzuka;
Ha ha ha ha mkuu mbona SUGU alienda kukata mauno fiesta ya Mbeya au ndo KIKI za jimbo?
Mkuu stata mzuka tofautisha kati ya kukata mauno na kukatishwa mauno
SUGU ALIKATA MAUNO~~kwa hiari yake
~~~ALikatishwa mauno~~~~kwa lazima!
Diamond kawajibu vzur sana...team wema chaliiii,ila soon wataachana tena,wasipoachana nalala uchi kona baa tigo ikiwa juu..cku tatu..
ha ha ha haaa....:wof::wof:
Huyo mkono wa paka atakuwa anauza tigo Bila wasiwasi
Mbona hiyo koment ya tigo nimeiona kwenye blog ya sintah..ina maana wanakopi koment au
Sintah anaiba coment zangu manina zake
Sio sinta tu hata blog nyingine nikajiuliza mara mbilibona zinafanana kulikoni yani hivo hivo
Diamond kawajibu vzur sana...team wema chaliiii,ila soon wataachana tena,wasipoachana nalala uchi kona baa tigo ikiwa juu..cku tatu..