Diamond awajibu Team Wema

Diamond awajibu Team Wema

Mkuu nimeamini Masha mshikaji wako....niliona tangu kule kwenye celebrity forum ulimvyotetea kuhusu kile kimada chake up to now......

Sauti ya umeme FMES nasikia ile mikataba mibovu ilisainiwa na kampuni ya mshikaji wako Masha.Hili unalizumziaje mkuu?

Meninah ni mwanamuziki pia yupi kwenye dance mia mia anatangaza
 
matola umeuwa hujui kama kuna single mother kwenyee huu uzi.wanaficha mimba hao utaona picha tu ya mtoto facebook lakini mababa hawajulikani.

Ila tukiacha unafiki watoto waliolelewa na single mother 98% ni majanga kabisa sio wa kuwasogelea hata kidogo


Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile
 
Naona alichojibu kiko directed zaidi kwa Wema na sio hizo team.Ameonyesha mambo matatu.1-kuwa wema anamarafiki wabaya.2-anapenda starehe au unywaji wa pombe.3-hapendi kufanya kazi.Ninauhakika ile message hata wema haijamfurahisha.Kamwita huyo msanii wenu...inamaana hajui jina lake?...ukisoma kwa makini ile message utaelewa naongelea nini.Wema needs to strike while the iron is still hot!!!!!!:flame:

True that...
 
Mh!wazungu wanasema go and announce me(kantangaze)
 
by stata mzuka;
Ha ha ha ha mkuu mbona SUGU alienda kukata mauno fiesta ya Mbeya au ndo KIKI za jimbo?




Mkuu stata mzuka tofautisha kati ya kukata mauno na kukatishwa mauno


SUGU ALIKATA MAUNO~~kwa hiari yake

~~~ALikatishwa mauno~~~~kwa lazima!
 
Last edited by a moderator:
by stata mzuka;
Ha ha ha ha mkuu mbona SUGU alienda kukata mauno fiesta ya Mbeya au ndo KIKI za jimbo?




Mkuu stata mzuka tofautisha kati ya kukata mauno na kukatishwa mauno


SUGU ALIKATA MAUNO~~kwa hiari yake

~~~ALikatishwa mauno~~~~kwa lazima!

acheni uongo sugu alikuwa kwny kill music tour
 
Last edited by a moderator:
public life. Mhhh that is not right. Some aspects of life have to remain secret.
 
diamond this is not fair kabisa, kabisa hiyo statment hukutakiwa kuitoa hadharan kama unampenda madam..ungempa mwongozo kupenda siyo umpende kitandan tu. penda na madhaifu yake Kwan ukamshaur hatakuckiliza....?If Wema is down nakwambia kuna namna na wewe utapwelea!..
 
Naona Diamond kachoshwa na tabia za Wema,inaonekana pia kamsema mpk kachoka ss kaamua atumie hii njia uhenda ikasaidia...Kupenda demu asiyejieleewa ni shida sn.
 
Diamond kawajibu vzur sana...team wema chaliiii,ila soon wataachana tena,wasipoachana nalala uchi kona baa tigo ikiwa juu..cku tatu..

Nipo standby na begi lililojaa Dildos, tena nimechagua size wanazoita "donkey size" so ole wako usitokee....alafu toa time frame....hiyo soon ni mwezi mmoja, mwaka mmoja au miaka....
 
Back
Top Bottom